Yangadamu
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 164
- 107
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze hivyo vitu, wakiolewa na wewe unakua unajua mume anahudumiwa vipi. Ukiolewa sasa utapata tabu sana, muhimu kuanza kujifunza kabla haujaingia kwenye ndoaNauhakika kwa hapo kwenu kuna wakati hizo huduma zitasimama.
Sasa kwa tahadhari hamia kwangu, huku hata hiyo kazi ya kunya hutaifanya maana ntakusaidia yawe yanatoka yenyewe tuu popote utakapokua.
Mkuu unafahamu aliyeanzisha uzi?Jifunze hivyo vitu, wakiolewa na wewe unakua unajua mume anahudumiwa vipi. Ukiolewa sasa utapata tabu sana, muhimu kuanza kujifunza kabla haujaingia kwenye ndoa
Haaaaaaaaaaa jamaa wanamtindo wa kukosea njia, shemej kidogo dada hatajuaFurah pia kuwa na dada ambao wana t.mbwa
hahaaaaaa Mama Sabrina huyu sio wewe kweli??...maana humu kwa drama..tehe tehe
Mmmmh mmmh dada
Sawa dada,siku njemanilikua nakutania tu mdogo wangu
Sawa dada,siku njema
Haja ndogo huendi?Nafurahi kuzaliwa mwanaume kwa sababu nyumbani sifanyi kazi yoyote ile kazi zote wananifanyia dada zangu ,kuanzia kupika, kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo, kunifulia nguo na kunisafishia geto langu na kunitandikia kitanda.
Mpaka chakula wananitengea na nikimaliza kula sitoi vyombo mimi mtoto wa kiume bwana nitatoaje vyombo wakati madada wapo.
Kazi yangu kula, kulala, kujisaidia haja kubwa, kuoga, kusoma na kufanya ngono basi.