Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Nauhakika kwa hapo kwenu kuna wakati hizo huduma zitasimama.
Sasa kwa tahadhari hamia kwangu, huku hata hiyo kazi ya kunya hutaifanya maana ntakusaidia yawe yanatoka yenyewe tuu popote utakapokua.
Jifunze hivyo vitu, wakiolewa na wewe unakua unajua mume anahudumiwa vipi. Ukiolewa sasa utapata tabu sana, muhimu kuanza kujifunza kabla haujaingia kwenye ndoa
 
Jifunze hivyo vitu, wakiolewa na wewe unakua unajua mume anahudumiwa vipi. Ukiolewa sasa utapata tabu sana, muhimu kuanza kujifunza kabla haujaingia kwenye ndoa
Mkuu unafahamu aliyeanzisha uzi?
Umehakikisha kwenye posti yako umemquote nani?
Naomba ntake radhi kabla sijairuhusu hii post ambayo itafanya mods waipige ban ID yangu. Tafadhali.
 
Haya bhana!! Haya ndo maisha tofauti kama formula ya coca na Fanta!!! [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
hili ni toleo jipya la wanaume wa dar, hapo ukute lina miaka 27 linafurahia ujinga
 
Ushoga huwa unaanza hivi hivi. Watch out young man.
 
Nafurahi kuzaliwa mwanaume kwa sababu nyumbani sifanyi kazi yoyote ile kazi zote wananifanyia dada zangu ,kuanzia kupika, kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo, kunifulia nguo na kunisafishia geto langu na kunitandikia kitanda.

Mpaka chakula wananitengea na nikimaliza kula sitoi vyombo mimi mtoto wa kiume bwana nitatoaje vyombo wakati madada wapo.

Kazi yangu kula, kulala, kujisaidia haja kubwa, kuoga, kusoma na kufanya ngono basi.
Haja ndogo huendi?

Naona hii ni version mpya ya Kisandu
 
Hamchelewi kuwa mashoga badae maana hamna kazi utayoweza kufanya kazi kupenda mteremko tu.
 
Back
Top Bottom