Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Hata hii post nahisi uko unakunya mwenyew mguu mmoja juu ya mwingine aah ukitoka hapo unainama unajicheki kwenye kioo.. unamuita mkata ukoka nje hapo,.. anakuja anakuchamba..!! Au sio..

Safi wa kishua
 
Dogo kuna jela na ukuta.....na kama ni muuza sura nenda mombasa wiki unarudi na vogi
 
hao unaowato..mb...a ndo hao hao dada zako wanapokuja kusafisha gheto lako ?
 
unajaza choo kwa baba ako hlf we mbuzi unapaita gheto.
pumbavu ama hapo kajenge.
 
Dah unaweza kuta mtoto wako kaanzisha uzi mkaanza kubishana nae,kuna vitoto vingi mno humu.
 
tumuombe Hon. Ndalichako hizi likizo fupi fupi wazifute ibaki ya december tu tena wiki 1
 
Nafurahi kuzaliwa mwanaume kwa sababu nyumbani sifanyi kazi yoyote ile kazi zotwananifanyia dada zangu ,kuanzia kupika, kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo, kunifulia nguo na kunisafishia geto langu na kunitandikia kitanda.

Mpaka chakula wananitengea na nikimaliza kula sitoi vyombo mimi mtoto wa kiume bwana nitatoaje vyombo wakati madada wapo.

Kazi yangu, kula, kulala,kunya, kuoga,kusoma na kutomb.aa basi.
Kufirwa pia ni kulelewa nyama we utalelewa
 
Back
Top Bottom