Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Hao Dada zako wanakufulia na kukudekia??

Seriously!!!

Ungekua kaka angu tungegawana majukumu kwakweli
 
Nauhakika kwa hapo kwenu kuna wakati hizo huduma zitasimama.
Sasa kwa tahadhari hamia kwangu, huku hata hiyo kazi ya kunya hutaifanya maana ntakusaidia yawe yanatoka yenyewe tuu popote utakapokua.
mkuu msaidie mtoto bhana
 
hawa mods wamelala sana

au nao tuwafungie haiwezekani nyuzi kama hii bado inaishi adi saizi
 
Angalia ugonjwa wa "kisasa" tu usikupate ule wa akina Delicious, Jayden n.k....maana ukiwa lege lege lazima uwe mboga za watu tu..
 
Usije lalamika tu shemeji anamshika dada makalio mbele yako siku ukihamia kwa dada sawa
 
Nafurahi kuzaliwa mwanaume kwa sababu nyumbani sifanyi kazi yoyote ile kazi zote wananifanyia dada zangu ,kuanzia kupika, kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo, kunifulia nguo na kunisafishia geto langu na kunitandikia kitanda.

Mpaka chakula wananitengea na nikimaliza kula sitoi vyombo mimi mtoto wa kiume bwana nitatoaje vyombo wakati madada wapo.

Kazi yangu kula, kulala, kujisaidia haja kubwa, kuoga, kusoma na kufanya ngono basi.

Aiseee...... kazi kweli kweli
 
duh
 
Back
Top Bottom