Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.
Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.