Nafurahi sana maaskofu wa KKKT wanavyowaumbua TEC

Ukweli MTUPU! Na baadhi ya waumini wameacha kwenda makanisani na wengine wameamua kuacha kutoa sadaka.

Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na ask shoo na bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa kanisa katoliki wakikemea mauaji aliyofanya sabaya au makonda zaidi ya kumsifia makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya jpm kupitia kwa kadinyo Pengo.

Angalau kidogo niwemugizi alikemea maovo ya jpm hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
 
Wakati wa kupiga kura mbona huwa amuombi muongozo toka kanisani au msikitini kiongozi gani anafaa muweze kumpigia kura? Mambo yakiaribika mnaanza kupapasa wapi mwa kutupia lawama.
 
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.

Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
YabaSa.png
 
Ukweli TEC inamba mno sasa. Nilikuwa naongea na 'sister' mmoja leo kuwa kama Vatican ingefumba kama TEC basi Ukatoliki wa Roma ungesambaratika. Sasa hivi kuna baadhi ya sala tafsiri yake kwa Kilatini ni tofauti kabisa.
Sasa wanatulazimisha kufuata lugha ya Kigiriki badala ya Kilatini na hii nimeona huko Kenya.
 
Kiazi kweli wewe, unadhani TEC inaendeshwa kwa mihemko yako?
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.

Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka ze
 
Viongozi wa dini/imani/madhehebu na wajisifu juu ya wito wao, ni watu wangapi wamewabadilisha kutoka kuwa watu wabaya na kuwa wema...kutoka kuelekea jehanam na kuwafanya waione pepo kifo kijapowafikia...
 
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.

Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
Kanisa Katolik lina utaratibu wake sio kila Askofu ni msemaji wa Kanisa
 
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.

Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
Mpumbavu mmoja wewe.. Mambo huku huenda kwa Hierakia sio kujiropokea kama sijui Bogonza huyo..
 
Mchafu hawezi kumkosoa mchafu mwenzie,hilo kanisa viongozi wake wamechafuka sana kwa ufuska na kulawiti watoto wadogo.Hivyo hawawezi kukemea hata kidogo.
 
Amehukumiwa miaka 30 kwenda jela kwa mauaji. Au we hauishi tanzania.
Duh mkuu, nadhani ni bahati mbaya, huku sikia vizuri, au huku soma vizuri. Sababu za Sabaya na wenzake kuhukumiwa miaka 30 gerezani. Hakimu alimtia hatiani Sabaya na we nzake kwa kosa la wizi kwa kutumia siraha.
 
Ni kweli padri akizaa na sister itachukua miongo miwili au mitatu katoliki kuuweka wazi hayo mahusiano ya kingono.
Nenda sumbawanga utakuta gesti kabisa wametengenezewa inaitwa riboli centre, hiyo floor ya juu kabisa ni kwaajili ya mapadri kufanya yao
 
Back
Top Bottom