Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Amehukumiwa miaka 30 kwenda jela kwa mauaji. Au we hauishi tanzania.Sabaya na Makonda walifanya mauaji lini na wapi?
Ni akina nani waliouawa?
Weka majina tafadhali.
Ben Sanane! Wa kwanza! Makonda alifata nin dodoma wakati lissu anaumizwa na alifata nin nairobi baada ya lisu kupelekwa huko?Sabaya na Makonda walifanya mauaji lini na wapi?
Ni akina nani waliouawa?
Weka majina tafadhali.
Sabaya na Makonda walifanya mauaji lini na wapi?
Ni akina nani waliouawa?
Weka majina tafadhali.
Kheee......!!!Amehukumiwa miaka 30 kwenda jela kwa mauaji. Au we hauishi tanzania.
Kabisa Waliunga Mpaka Sheikh AlhadUnafanya mchezo na awamu ya tano,Kakobe & Gwajima waliunga mkono juhudi.
Kuna weledi katika kuua watu? Au wafe watu wangapi ndo huo weledi ujidhihirishe. Acheni kukalilishwa eti wanatumja weredi wakati ni washenzi tu. Kwanza ndo walisababisha mauaji ya kimbali rwanda halafu eti unasema weredi. Na ukumbuke mapadre na maaskofu wengi wa kanisa katoliki ni failures form six. Wanaopata div one na kwenda upadre huwa wachache sana.Wakatoliki wanatumia weledi wa hali ya juu katika kusema ukweli.
We ndo hamnazo kweli. Waumini ndo unawaita hamnazo. Sasa kanisani wanakuja kufanya nini kama mnawaita hamnazoMbona una mambo mengi home boy, kwahiyo huyo Niwemuguzi ni wa KKT sio? Kwani hao KKT umetaja wangapi?Nina swali dogo kwako,Hivi unaposema Sabaya na Makonda walifanya mauaji unaweza nipatia ushahidi katika hili? Ni nani aliuliwa na hawa uliowataja na sehemu zipi?
Alafu ni lini ulisikia kanisa linapigania wapumbavu au imetajwa wapi kwenye vitabu vya dini kwamba mtume fulani au mtumishi wa Mungu aliwapigania wapumbavu?Ukweli ni kwamba mpumbavu kamanishiwa kiama toka mwanzo ndio maana unaona kanisa lipo kimya.
Waumini nimewataja wapi hapo ebu kuwa na adabu wewe mimi sio mtoto mwenzio. Ngoja nikusaidie nimewataja wapumbavu ambao ni watu wa taifa lakoWe ndo hamnazo kweli. Waumini ndo unawaita hamnazo. Sasa kanisani wanakuja kufanya nini kama mnawaita hamnazo
Achana na Yule Kadinali Pengo Kada wa CCMMaaskofu kkkt nchi hii wanaonesha ndo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na ask shoo na bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa kanisa katoliki wakikemea mauaji aliyofanya sabaya au makonda zaidi ya kumsifia makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya jpm kupitia kwa kadinyo Pengo.
Angalau kidogo niwemugizi alikemea maovo ya jpm hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
KKKT = UJERUMANI=CHADEMA walisema zamu yao ya kutoa rais ilikuwa 2015 kupitia Lowassa-sasa unaweza kuelewa kwanini wao si kama wale wa TECMaaskofu kkkt nchi hii wanaonesha ndo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na ask shoo na bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa kanisa katoliki wakikemea mauaji aliyofanya sabaya au makonda zaidi ya kumsifia makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya jpm kupitia kwa kadinyo Pengo.
Angalau kidogo niwemugizi alikemea maovo ya jpm hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
Hivi wale ngungulu wenye mbaka meupe bado wapi?Maaskofu kkkt nchi hii wanaonesha ndo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na ask shoo na bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa kanisa katoliki wakikemea mauaji aliyofanya sabaya au makonda zaidi ya kumsifia makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya jpm kupitia kwa kadinyo Pengo.
Angalau kidogo niwemugizi alikemea maovo ya jpm hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.