Nafurahi sana maaskofu wa KKKT wanavyowaumbua TEC

Kama umeamua kuwasifia kkkt wasifie kivyako lakini siyo kutukana wakatoliki.

Askofu Saba.
Askofu Niwemugizi
Padre Kitima
Baraza la TEC hukuwasikia au umeamua kuchagua wa kushambulia?
 
Waumini nimewataja wapi hapo ebu kuwa na adabu wewe mimi sio mtoto mwenzio. Ngoja nikusaidie nimewataja wapumbavu ambao ni watu wa taifa lako
Wumini ndo wanaotaka kutetewa dhidi ya dhulma na mauaji. Wanaodhulumiwa na kupigwa risasi au kupotezwa ni waumini mfano lisu aliyepigwa lisasi 32 ni muumini wa kanisa katoliki
 
Acha uchochezi na uchonganishi wewe ni mmoja wa vile vigenge tunavyoandaa orodha Yao kwa hatua stahiki.
 
Pengo pia alimsifia Hitler na kusema kuwa alileta maendeleo lakini analaumiwa tu kwa mauaji ya halaiki ys Wayahudi

Lakini nadhani msimamo wa Pengo sio wa Kanisa Katoliki, Kanisa katoliki walikemea sana watu kutekwa Magufuli akawakejeli
 
Amehukumiwa miaka 30 kwenda jela kwa mauaji. Au we hauishi tanzania.
Mkuu, kunywa maji utulie kwanza, inaelekea una chuki tu za Maaskofu wa Rc. Hukumu gani hiyo ya Sabaya inayoonyesha ameua watu?
 
Mkuu, you're too emotional!Tulia.
 
Wumini ndo wanaotaka kutetewa dhidi ya dhulma na mauaji. Wanaodhulumiwa na kupigwa risasi au kupotezwa ni waumini mfano lisu aliyepigwa lisasi 32 ni muumini wa kanisa katoliki
Ndio waumini inabidi watetewe pale dhuluma inapofanyika, lakini kabla ya kufika huko unajua Idara ya habari ya kanisa katoliki inavyofanya kazi?

Ndio Tundulisu alipigwa risasi na jambo hilo ni dhuluma kila mtu analitambua lakini unajua kwamba pale Lisu profile yake ilikuwa inasomeka kama political figure?Unajua kanisa limeelezwa nini when dealing with politics?

Ndio, kanisa ilibidi liseme chochote kwa maana Lisu mbali ya kuwa na profile yake ya kisiasa bado ni muumini na mtanzania mwenzetu.Swali ni kuwa una uhakika kanisa alikusema chochote? au kwasababu hukuwaona wakiita waandishi wa habari?.Ukweli ni kwamba kanisa katoliki lilisema na linaendelea kusema na jambo hili linafanyika katika ibada za kila siku kupitia mafundisho ya Misa
 
Unamisikilizaga katibu wa TEC Kitime.
 
Kwa hiyo unataka kusema kanisa haliko huru i.e limetekwa na umagharibi. Haliko kwa ajiri ya watu bali kwa ajiri ya interest za vatican. Vatican isposema basi hata wata watu wakichinjwa poa tu ilimradi vatican hawajaona kosa.
Basi this is not a normal church.
 
Yaani unachukua maneno ya mwenzako humu humu JF na unayafanyia conclusion! Mnatuharibia JamiiForums jamani, sio lazima muwemo humu
 
Naomba nione nlipo sema kanisa katoliki haliko huru katika hiyo comment.Ndio kanisa lipo kwa ajili ya interest za Vatican kuna jingine labda ulitaka kuliongeza kwa maana naona umeamua kulishambulia kanisa licha ya maelezo nliyokupatia lakini bado unaibua yako unayoyapenda.
 
Yaani unachukua maneno ya mwenzako humu humu JF na unayafanyia conclusion! Mnatuharibia JamiiForums jamani, sio lazima muwemo humu
Bora umeweza kuliona hili. The man is trying to attack the church. What I have said ni kwamba Roman Catholic church has its own way of conveying information.Sasa ambacho sielewi huyu mwenzetu anataka kanisa lifanye kazi kama anavyopenda yeye.
 
Yaani mtu anakula zake ugali na nyanya chungu anashiba anaingia jf kuandika vitu ambavyo havina maana na ukweli..

Waraka wa Waroma kwenye pasaka ulikuwa huusomi?..

Huyo Niwemugizi sio RC??..au unataka hadi masista wa wakatoliki kila mmoja kwa wakati wake aite press conference?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…