Nafurahi sana maaskofu wa KKKT wanavyowaumbua TEC

Ukweli MTUPU! Na baadhi ya waumini wameacha kwenda makanisani na wengine wameamua kuacha kutoa sadaka.

 
Sabaya na Makonda walifanya mauaji lini na wapi?
Ni akina nani waliouawa?
Weka majina tafadhali.
Wee hujui Makonda alipigwa marufuku kwenda Marekani kwa mauaji? Hiyo ni kwa mujibu ya ripoti ya haki za binadamu
 
Wakati wa kupiga kura mbona huwa amuombi muongozo toka kanisani au msikitini kiongozi gani anafaa muweze kumpigia kura? Mambo yakiaribika mnaanza kupapasa wapi mwa kutupia lawama.
 
 
Ukweli TEC inamba mno sasa. Nilikuwa naongea na 'sister' mmoja leo kuwa kama Vatican ingefumba kama TEC basi Ukatoliki wa Roma ungesambaratika. Sasa hivi kuna baadhi ya sala tafsiri yake kwa Kilatini ni tofauti kabisa.
Sasa wanatulazimisha kufuata lugha ya Kigiriki badala ya Kilatini na hii nimeona huko Kenya.
 
Kiazi kweli wewe, unadhani TEC inaendeshwa kwa mihemko yako?
 
Viongozi wa dini/imani/madhehebu na wajisifu juu ya wito wao, ni watu wangapi wamewabadilisha kutoka kuwa watu wabaya na kuwa wema...kutoka kuelekea jehanam na kuwafanya waione pepo kifo kijapowafikia...
 
Kanisa Katolik lina utaratibu wake sio kila Askofu ni msemaji wa Kanisa
 
Mpumbavu mmoja wewe.. Mambo huku huenda kwa Hierakia sio kujiropokea kama sijui Bogonza huyo..
 
Mchafu hawezi kumkosoa mchafu mwenzie,hilo kanisa viongozi wake wamechafuka sana kwa ufuska na kulawiti watoto wadogo.Hivyo hawawezi kukemea hata kidogo.
 
Wakatoliki wanatumia weledi wa hali ya juu katika kusema ukweli.
Ni kweli padri akizaa na sister itachukua miongo miwili au mitatu katoliki kuuweka wazi hayo mahusiano ya kingono.
 
Amehukumiwa miaka 30 kwenda jela kwa mauaji. Au we hauishi tanzania.
Duh mkuu, nadhani ni bahati mbaya, huku sikia vizuri, au huku soma vizuri. Sababu za Sabaya na wenzake kuhukumiwa miaka 30 gerezani. Hakimu alimtia hatiani Sabaya na we nzake kwa kosa la wizi kwa kutumia siraha.
 
Ni kweli padri akizaa na sister itachukua miongo miwili au mitatu katoliki kuuweka wazi hayo mahusiano ya kingono.
Nenda sumbawanga utakuta gesti kabisa wametengenezewa inaitwa riboli centre, hiyo floor ya juu kabisa ni kwaajili ya mapadri kufanya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…