Nafurahishwa na muamko wa Wananchi kuhoji

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
525
Reaction score
2,950
Nafurahishwa sana na namna watanzania Wana hoji juu ya rasilimali zao hii ni ishara kubwa sana "Political culture "ya Tanzania sasa inahama kutoka Subject political Culture kutokana na tafiti ya mwisho iliyofanywa na REDET (UDSM) Tanzania's Political Culture: A Baseline Survey ya 2000. Ni wazi kama tafiti itafanywa tena kipindi hiki level ya Political culture naangazia huenda ikawa Mixed Political culture yaani Subject -Participant Political Culture.

Lakini pia level ya Demokrasia naona inazidi kuimarika kutoka kwenye mkwamo ,sababu ya watu kuwa huru kuhoji serikali bila hofu, serikali kutoka hadhara kupitia @gersonmsigwa, @msemajimkuuwaserikali na mkurugenzi wa @tpa_tz kuja kuulizwa maswali na kujibu kutetea, ushauri wangu tuu kwa viongozi wa serikali wazidi kuwa na uvumilivu wa wa kisiasa (Political tolerance) na wananchi wanao hoji wasiangaliwe kwa jicho baya ,au wasionekane maadui wa serikali ila waonekame wazalendo wa nchi wanaotaka rasilimali za nchi Yao ziwe salama na zitumike kutunufaisha na tunaamini hatimaye tutapata wazo moja baada ya msuguano wa kimawazo asemavyo Karl Max, Friedrich Angels na Hegel katika Dialectal Materialism on Contradiction ,Thesis (Suala) [emoji3591]Anthesis(Ukinzani wa mawazo) [emoji3591] Synthesis (Hitimisho la Pamoja).

Hivyo, Mimi naamini katika ukinzani wetu huu hatimaye tutakubaliana tuu,aidha kwa serikali kukubaliana na hoja, hofu na fikra za wananchi au Wananchi kukubaliana na hoja za serikali watakazo toa au serikali ichukue mawazo ya Wananchi kuyafanyia kazi kwa kurekebisha maeneo yenye kasoro kwenye mkataba. Tunawajibu wote kulinda rasilimali za nchi hii kwa mujibu wa ibara ya 27(1) ya katiba yetu ya 1977 JMT.

Juzi katika mjadala, Clubhouse ukiongozwa na @msemajimkuuwaserikali ndug. @gersonmsigwa ,niliuliza swali kwa Mkurugenzi wa Bandari Ndug. Plasduce Mbossa ,binafsi sikuridhishwa na majibu vyema serikali ije na majibu.

2017 tulifanya mabadiliko ya sheria ya ulinzi wa rasilimali (Protection of Permanent Sovereignty Act) kifungu cha 21 kinasema kukiwa na mgogoro na muwekezaji, utatatuliwa na Mahakama za ndani, ila huu mkataba (IGA) ibara ya 20 inasema migogoro itatatuliwa Mahakama za usuluhishi nje ya nchi.

Abdul Nondo.
 
Wananchi wameamka Sana ,wasiamke tu mitandaoni bali wawe active hata kwa vitendo...katika mjadala wa bandari hata mtu aelezee vizuri Faida za mradi sijaona comments za kuunga mkono sanasana ni mashambulizi kwenda mbele..wanasiasa wasikilize wananchi wasilazimishe otherwise tunakoenda ni kubaya...
 
Alikuwa haruhusu kuhoji, ukihojihoji anakupoteza.

Au umesahau BenSaanane alihoji PhD tu mpaka leo.
Acha urongo, ilitegemea unahoji nini....Kama unahoji vitu binafsi lazima akule kichwa...Lakini aliruhusu kila penye uovu usemwe na kila mtu aliogopa kufanya uovu....Tatizo lake kuu ni kulinda wale wachache aliowaamini which is natural kama binadamu...
 
Wote mliufyata humu ni watu wachache humu jf ndio walikuwa wakihoji.

Leo hii Samia kaachia uhuru wa kikatiba wa kuhoji ndio imekuwa mpaka matusi.
 
Kla kiukwel kwenye hili watanzania wamecharuka haswaaaa.
Hata JF hapa jukwaa la MMU watu wamelipotezea kwa muda.😂😂😂😂😂
 
Acha urongo, ilitegemea unahoji nini....Kama unahoji vitu binafsi lazima akule kichwa...Lakini aliruhusu kila penye uovu usemwe na kila mtu aliogopa kufanya uovu....Tatizo lake kuu ni kulinda wale wachache aliowaamini which is natural kama binadamu...
Mikopo aliyokopa Benki za Biashara alikopa huku wananchi tukiwa gizani nani aliyehoji zaidi ya Lissu?
 
Nafurahishwa sana na namna watanzania Wana hoji juu ya rasilimali zao hii ni ishara kubwa sana "Political culture "ya Tanzania sasa inahama kutoka Subject political Culture kutokana na tafiti ya mwisho iliyofanywa na REDET (UDSM) Tanzania's Political Culture: A Baseline Survey ya 2000. Ni wazi kama tafiti itafanywa tena kipindi hiki level ya Political culture naangazia huenda ikawa Mixed Political culture yaani Subject -Participant Political Culture.

Lakini pia level ya Demokrasia naona inazidi kuimarika kutoka kwenye mkwamo ,sababu ya watu kuwa huru kuhoji serikali bila hofu, serikali kutoka hadhara kupitia @gersonmsigwa, @msemajimkuuwaserikali na mkurugenzi wa @tpa_tz kuja kuulizwa maswali na kujibu kutetea, ushauri wangu tuu kwa viongozi wa serikali wazidi kuwa na uvumilivu wa wa kisiasa (Political tolerance) na wananchi wanao hoji wasiangaliwe kwa jicho baya ,au wasionekane maadui wa serikali ila waonekame wazalendo wa nchi wanaotaka rasilimali za nchi Yao ziwe salama na zitumike kutunufaisha na tunaamini hatimaye tutapata wazo moja baada ya msuguano wa kimawazo asemavyo Karl Max, Friedrich Angels na Hegel katika Dialectal Materialism on Contradiction ,Thesis (Suala) [emoji3591]Anthesis(Ukinzani wa mawazo) [emoji3591] Synthesis (Hitimisho la Pamoja).

Hivyo, Mimi naamini katika ukinzani wetu huu hatimaye tutakubaliana tuu,aidha kwa serikali kukubaliana na hoja, hofu na fikra za wananchi au Wananchi kukubaliana na hoja za serikali watakazo toa au serikali ichukue mawazo ya Wananchi kuyafanyia kazi kwa kurekebisha maeneo yenye kasoro kwenye mkataba. Tunawajibu wote kulinda rasilimali za nchi hii kwa mujibu wa ibara ya 27(1) ya katiba yetu ya 1977 JMT.

Juzi katika mjadala, Clubhouse ukiongozwa na @msemajimkuuwaserikali ndug. @gersonmsigwa ,niliuliza swali kwa Mkurugenzi wa Bandari Ndug. Plasduce Mbossa ,binafsi sikuridhishwa na majibu vyema serikali ije na majibu.

2017 tulifanya mabadiliko ya sheria ya ulinzi wa rasilimali (Protection of Permanent Sovereignty Act) kifungu cha 21 kinasema kukiwa na mgogoro na muwekezaji, utatatuliwa na Mahakama za ndani, ila huu mkataba (IGA) ibara ya 20 inasema migogoro itatatuliwa Mahakama za usuluhishi nje ya nchi.

Abdul Nondo.
Taratibu watu wanaamka.
 
Wewe ni kati ya wale wale walioishiwa hoja mnabwabwaja tu mnaponda kila kinachofanywa na serikali lakini hamtuelezi ninyi mtafanyaje
 
Back
Top Bottom