Nafurahishwa na vita ya maneno mtandaoni kati ya wakristo na Waislamu

Huyu Maza ataiacha nchi kwenye hali mbaya sana bila kumpiga pini nchi unaenda kupasuka
Labda ungeweka unafiki pembeni na ukasema wazi kuwa "unataka kusiwe na Raisi mwenye Imani ya kiislamu katika taifa hili Hadi kiama". Ukweli ni kuwa Kila anapokuwa rais muislamu basi upande wa pili huwa hauachi chokochoko hata ajiepushe nazo vipi. Samia sio tatizo hapa hata kidogo, tatizo ni nyie TEC na chadema mnaomsumbua Samia sababu ya dini yake. Semeni ukweli acheni unafiki mamamamamamamamamamamamamamamae!
 
Madai ya Katiba mpya na uwajibikaji wa serikali yameanza kwa Samia? Katiba mpya na Imani ya dini vina husiana nini?
 
Nimezaliwa katika familia ya Kiislamu na baadae kubadili dini na kuwa Mkristo kwa hiyari yangu ndugu zangu wanaheshimu uamuzi wangu na hawakunitenga ila watu baki waislamu wananinunia bila sababu...Ukweli waislamu ni wakorofi...

Umebahatika umekuwa mfuwasi wa nabii Tito
 
Samia na Serikali yake Haramu ni hatari kwa Usalama wa Taifa, wapo Tyr kufanya chochote kuligawa Taifa ili mradi waendelee kubakia madarakani, Nashauri watu wenye hekima wa nchi hii wamzuie Samia na vijakazi wake kabla hawajaliingiza Taifa kwenye madhira makubwa sana zaidi ya hata 29 October 2025.
 
Madai ya Katiba mpya na uwajibikaji wa serikali yameanza kwa Samia? Katiba mpya na Imani ya dini vina husiana nini?
Na hapo ndipo wanafiki mnapojifichia, tunachosema wengine ni kwamba madai haya yawe na nguvu sawa wakati wote na sio zipishane.....hapo itakuwa haki. Iweje wakati wa Mkapa katiba mpya kama ilitajwa basi mliitaja mara Moja tu tena bila harakati zozote za kuipigania lakini wakati wa Kikwete Kila siku mlikiwa mnamsumbua suala la katiba mpaka akaanzisha mchakato. Ajabu mkatulia kimyaaaa alipokuja JPM ingawa alitamka wazi kuwa "katiba mpya sio kipaumbele chake" na akafanya mambo mengi kwa matakwa yake Huku mkiendelea kukaa kimya.....hata utekaji, tukiweka UNAFIKI pembeni, uliofanywa sana kipindi chake na Wala kelele zenu hatukuzisikia. Mlitulia kimyaaaa na kuishia kupongeza tu. Kama kukemea, basi kwa kiwango kidogo sana, yaani zuga flani hivi.....

Amekuja Samia, mmeibuka tena kwa Kasi kumsumbua afanye mambo ambayo mliyanyamazia kimyaa kipindi Cha mwendazake......kwanini inakuwa hivi?!!!!!!!!! Haya mapishano makubwa ya hizi harakati zenu kati ya maraisi wa kiislamu na kikristo ndiyo yanayoleta shida kama hamjui (na Nina uhakika mnajua ila mmekuwa tu WANAFIKI......mna kipaji Cha unafiki). Iweje Raisi wa kiislamu anapewa dozi ya kilo 10 ya kiuanaharakati wakati wa kikristo anapewa dozi yenye uzito wa robo kilo tu?!!!! Hii sio haki. Tuyaone maandamano ya kudai katiba mpya au chochote kile wakati wa maraisi wa kikristo pia.......hapo tutaelewana.
 
Hao watu wenye hekima nashauri waongee na TEC, ndiyo wenye shida hao na shida yao ni kumuona Samia anatawala hawapendi kabisa kabisa.
 
Sijasoma maelezo yako sababu najua umeandika pumba kitu nataka kukuambia kama Katiba mpya sio kipaumbele kwanini rais haramu kaiweka kwenye ahadi zake na ndani ya siku 100
 
Sijasoma maelezo yako sababu najua umeandika pumba kitu nataka kukuambia kama Katiba mpya sio kipaumbele kwanini rais haramu kaiweka kwenye ahadi zake na ndani ya siku 100
Utakuwa una matatizo ya kijinsia, huwa sijibishani na watu wa namna hiyo.
 
Hao watu wenye hekima nashauri waongee na TEC, ndiyo wenye shida hao na shida yao ni kumuona Samia anatawala hawapendi kabisa kabisa.
TEC wameua watanganyika 10,000 !? Another useless idiot 🚮
 
Idadi hii imetolewa na TEC, au sio?!!!! Sawa, ni nyie tu na Mungu wenu.

Hivi kulitokea nini' Hadi hayo mauaji?!!!!
Hilo swali kamuulize aliyewatuma kufanya mauaji ya halaiki, ww pia ni miongoni mwa wale walioshiriki kufanya mauaji ya kutisha ya watanganyika, umelaaniwa wewe na kizazi chako chote kwa kumwaga damu nyingi sana isiyo na hatia na kabla hujaonja joto la Ardhi utawajibishwa vikali Duniani na mbinguni. Laana hiyo inaendelea kukutafuna taratibu ndiyo maana Kila member anakushangaa kwa kile unachokitetea.
 
Kwani mpo pamoja Hadi useme Kila mtu ananishangaa?!!! Halafu ni wapi nimetetea mauaji we mharifu usiye na haya?!!! Mi nimeuliza tu kuwa kilitokea nini' Hadi yakatokea hayo mauaji ya "watu 10,000) kama mnavyoambiwa na TEC?!! Mbona swali rahisi tu kwakuwa unajua. Ubarikiwe kama macho Yako yaliniona nikitekeleza mauaji.
 
Mm sio muhalifu kama ww muaji mkubwa mwenye laana. Mmewaua watanganyika 10,000 sasa ivi laana inawatafuna mnawatupia lawama TEC, CHADEMA mara mabeberu, n.k. Kwani TEC iliwatuma mfanye mauaji hayo ya kutisha!? laana hii itawatafuna hapa duniani na jehanamu mtaishi kwa mahangaiko makubwa ya kiakili na kisaikolojia hapa duniani mpaka haki ya damu mliyomwaga ipatikane.
 
Kwani lwambano alisema nini? Kwa faida ya genz Tueleze kisa kizima kama hautojari sheikh!!!!
 
Ikiwa hivyo ndivyo yaweza kuwa ni shetani kasoro nusu ila bado hujaweza kutambua hilo.!
 
Wanafiki waliochochea hayo kwa kuwaandaa majambazi kuiba, kupora, kuua, kujeruhi na kuharibu Kila kilichojengwa kwa jasho kubwa kwa manufaa ya umma Huku Sasa hivi wakijifanya kuepuka kutaja hilo na kurukia kutoa lawama kwa wasiyemtaka (Samia)watatafunwa mara 1000 na laana za Dunia, kaburini na baada ya maisha ya kaburini (siku ya hukumu, jehannam). Shenzyyyyy kabisa....
 
We ni laana kwa familia Yako na wazazi wako...Itabidi ufanye matambiko, Dua na Sala za kutosha kuondoa laana hiyo kwa kizazi chako, naomba niishie hapa usije nipa laana maana unanuka laana na damu.
 
Huyu Maza ataiacha nchi kwenye hali mbaya sana bila kumpiga pini nchi unaenda kupasuka
Ana mambo ya kifala sana. Na ndie chanzo cha mipasuko na marumbano sababu vibwengo wake ndio wanafanya uchochezi mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…