Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fursa hiyoKila la kheri
Fursa hiyo
Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM
Karibuni Sana
😂😂😂😂😂mfyuuuuuuuuMother Confessor usije sema sijakushirikisha hii fursa
Ndio ushamaliza hivyo mkuu???...hutaki chura weye na vigezo vingine vitam tam???Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM
Karibuni Sana
Ndio ushamaliza hivyo mkuu???...hutaki chura weye na vigezo vingine vitam tam???
[emoji121]Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM
Karibuni Sana
Wadau siangalii chura awe mcha Mungu na tabia njema ninaeweza kumpenda tu akanijali inatosha.Ndio ushamaliza hivyo mkuu???...hutaki chura weye na vigezo vingine vitam tam???
Kivipi Mdau nipe darasa.Subiri uuziwe mbuzi kwenye gunia
[emoji4] [emoji4] vp kama akiongezea "Nina gari na nyumba" kwenye vigezo vyake?Inipite tu
Mbona umechelewa sana kuoa au ndo ulikua unaset mipango ?Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM
Karibuni Sana
Aongeze tu...atawapata wanaoangalia ivyo vigezo[emoji4] [emoji4] vp kama akiongezea "Nina gari na nyumba" kwenye vigezo vyake?
[emoji4] We unaangalia vigezo vp sasa?Aongeze tu...atawapata wanaoangalia ivyo vigezo