Nafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke

Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM

Karibuni Sana
Sasa kk, kwanini usitafute tu ana kwa ana!!!? Hii ya mtandaoni naona sio njia sahihi saaaana japo kuwa wapo waliofanikiwa kupata kwa njia hii lakini better ukatafuta kwa njia nyingine
 
Aongeze tu...atawapata wanaoangalia ivyo vigezo
Mwanamke anaeingia kwenye ndoa kwa sababu ya hivyo vigezo pekee hasara kubwa itakuwa kwa Mwanaume (Muoaji) kwa sababu atakuwa hajapata Mke mwema, maisha yanabadilika na majuto lazima yampate. Wakristo tunaoa mara moja tu.
 
Ukweli mtupu
 
Ukistaajabu ya musa utayaona ya wabongo, miaka 34 anatafuta mchumba mitandaon
 
Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM

Karibuni Sana
Karibu JF...
Screenshot_20181028-143625.jpg
 
Hebu tembea tembea bwana utawapata huko njiani....huku mitandaoni utawapata wale wa 'part time' vinginevyo ni matatizo tu.
 
Sasa kk, kwanini usitafute tu ana kwa ana!!!? Hii ya mtandaoni naona sio njia sahihi saaaana japo kuwa wapo waliofanikiwa kupata kwa njia hii lakini better ukatafuta kwa njia nyingine
Mke/Mume ni 'maisha',sio kwa ajili ya 'show off' ili watu wajue nawe umeoa/umeolewa;nenda ana kwa ana ndio njia nzuri zaidi
 
Sasa kk, kwanini usitafute tu ana kwa ana!!!? Hii ya mtandaoni naona sio njia sahihi saaaana japo kuwa wapo waliofanikiwa kupata kwa njia hii lakini better ukatafuta kwa njia nyingine
Wadau niombeeni nipate mtu sahihi, wa mitaani(wa ana kwa ana) na wamtandaoni hawana tofauti ndoa nyingi zina shida na zimevunjika na sababu sio kwa sababu wamepata mtu mtandaoni ila hawakuwa na bahati ya kupata mtu sahihi. Nimependa nitafute mtandaoni kwa sababu najua nitapata mtu mwenye hitaji kama langu.
 
Daah! Kila ninapoona siledi za kutafuta wachumba mitandaoni nakumbuka kademu kangu ka kichagga( Irene) nilikapataga "efubii" nilikatafuna mpaka kakashindwa simama kwenda kuoga ikabidi nikabebe mgongoni hadi bafuni then nikakaogesha...[emoji23] [emoji23]
So, komaa waweza bahatisha kama mie enzi hizo[emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom