Mdau sitaki kuonja asali nataka nichukue jumla mzinga nikae nao ndani naomba Mungu nipate mtu serious nipate Mke ninaeweza kumpenda na yeye akanijali na kuniheshim kama mume wake. Nakomaa Mdau.Daah! Kila ninapoona siledi za kutafuta wachumba mitandaoni nakumbuka kademu kangu ka kichagga( Irene) nilikapataga "efubii" nilikatafuna mpaka kakashindwa simama kwenda kuoga ikabidi nikabebe mgongoni hadi bafuni then nikakaogesha...[emoji23] [emoji23]
So, komaa waweza bahatisha kama mie enzi hizo[emoji125] [emoji125]
Duh kweli tunatofautiana, ongeza juhudi utapataWadau niombeeni nipate mtu sahihi, wa mitaani(wa ana kwa ana) na wamtandaoni hawana tofauti ndoa nyingi zina shida na zimevunjika na sababu sio kwa sababu wamepata mtu mtandaoni ila hawakuwa na bahati ya kupata mtu sahihi. Nimependa nitafute mtandaoni kwa sababu najua nitapata mtu mwenye hitaji kama langu.
Niko hapa... Njoo tuyajengeWadau siangalii chura awe mcha Mungu na tabia njema ninaeweza kumpenda tu akanijali inatosha.
Nimeipenda hii