Nafuta mke mwathirika wa HIV

Nafuta mke mwathirika wa HIV

Joined
Apr 20, 2022
Posts
34
Reaction score
47
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi Dar ni mjasiriamali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja. Dini yangu ni mkiristo ila mwenza awe wa dini yoyote sichagui. Ahsanteni.
 
Nina wajua wawili, mmoja ana degree, mwingine ni 4m4, degree ana 28 yrs, form ana 22 years, chagua nikutumie namba PM.

NB 22 yrs is more beautiful than 28! 28 ni ndugu yangu, 22 ni best friend wangu.
 
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi dar ni mjasiria mali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja.dini yangu ni mkiristo ila mwenza awe wa dini yoyote sichagui. Ahsanteni.
bro
upo bwawa la mindu hapa moro?
 
Back
Top Bottom