Nafuta mke mwathirika wa HIV

Nafuta mke mwathirika wa HIV

Nina wajua wawili, mmoja ana degree, mwingine ni 4m4, degree ana 28 yrs, form ana 22 years, chagua nikutumie namba PM.

NB 22 yrs is more beautiful than 28! 28 ni ndugu yangu, 22 ni best friend wangu.
Sifanyi utani ndugu nimemaanisha,
 
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi dar ni mjasiria mali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja.dini yangu ni mkiristo ila mwenza awe wa dini yoyote sichagui. Ahsanteni.
Ndugu zangu namaanisha,nawapa pole mnaoleta utani. Niko na afya nzuri nikiamua ntamchukua mwanao,mdogowako,mkewako, au mchumbawako.
 
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi dar ni mjasiria mali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja.dini yangu ni mkiristo ila mwenza awe wa dini yoyote sichagui. Ahsanteni.
Nimemaanisha nduguzangu, niko serious natamani nipate mtu wa hali kama yangu.
 
Daaah Pole sana Ndugu. Hili Gonjwa Lingekuja Kipindi cha Corona Wangelishtukiwa
 
Nahitaji mke mwenye vvu kama mimi ili tuishi kwa upendo na kuthaminiana. Mimi ni mwanaume wa umri wa miaka 38 nahitaji mke wa aina yoyote ili mradi awe na ni mwathirika mwenzangu. Naishi maisha ya kawaida na nnawapenzi ambao ni negative natumia condom ila natamani nipate mwenzangu ili tuishi kwa furaha.sichagui dini wala rangi maana binadam wote ni sawa. Niko na afya nzuri mrefu mwembamba mweusi, mke yeyote ataejitokeza ntamkubali. Ili mradi awe na afya ambayo mtu yeyote hatomtilia shaka kama mimi. Nawakaribisha dadazangu karibu sana.
 
Back
Top Bottom