Ebm1
Member
- Jan 25, 2023
- 6
- 11
safi sanaNatafute mke ambae hatoomba pesa kabla ya ndoa
Anyway natania mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sanaNatafute mke ambae hatoomba pesa kabla ya ndoa
Anyway natania mkuu
Waislamu mnarahisisha sana talaka ndoa mnachukulia kama kitu rahis kama kunywa majiC kwa sababu ya kuficha kitu Ila ni kwasababu zengine . Km Ila aweke wazi kipi hapendi kipi km nkikudanganya talaka zipo
Jimbo bado liwazi mtoto mzuri 🙂🙂Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Dunia inaenda kwa Kasi sana, endeleeni kutaja vigezo hivyo hivyo🤣🤣🤣Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Si kasema awe mwembamba na mrefu!Awe na uume urefu wa inchi ngapi please.