Wamwiduka hawa hapa:-Hatupendi vitu vya uhakika kama Mwinduka Band, Msafiri Zawose au vya Kauzeni Lyamba. Hawa wana tour kibao nje kimataifa lakini sisi hatuwafuatilii
View: https://m.youtube.com/watch?v=UPZjvJOEHho
Kauzeni Lyamba mwalimu wa muziki wa asili ya kiTanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=NYDWKe-ADng
Msafiri Zawose wa Bagamoyo live kimataifa
View: https://m.youtube.com/watch?v=oTdttwUqDYc
Mkuu tangu lini tumewahi kuwa na jambo la "umma" hapa kwetu?!Basi na hiyo singeli iachwe isambae, kama inapendeka. Wewe unaona ni fair ku-declare mziki unaochezwa sehemu ndogo tu za mkoa mmoja kuwa ni wa taifa? Mziki ambao wengi hawakubali na hawataki kabisa kuusikia. Kwa nini umma usipewa nafasi ya kuamua?
Unaweza kutokwa povu bure kumbe na wao walilenga kulitambulisha Taifa na yaliyomo kupitia wimbo wa TaifaView attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Hayo maneno 9 hayatoshi kuthibitisha kuwa Sina akili,tetea hoja yako we kiziboπ€¨π€¨Wewe huna akili, pita kule
Nafuu kama wameshindwa kabisa wangetumia nyimbo au midundo ya msondo ngomaMkuu tangu lini tumewahi kuwa na jambo la "umma" hapa kwetu?!
Kila jambo ni la kisiasa na linaamuliwa kisiasa. Zamani kulikuwa na mashindano ya muziki wa dansi na kwenye mashindano hayo nyimbo zilikuwa na vionjo vya midundo ya kikabila. Mashindano yale ilikuwa zaidi ya Yanga na Simba... Laiti yangeendelezwa yale mashindano sidhani kama kiongozi angejitokeza na kuamua jambo kivyake tu.
Uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo viongozi wetu umefika mwisho,twende na "singeli" mkuu
Aliona kwenye sherehe za kuzaliwa Chama 5/2Naamini Waziri Prof Palamagamba Kabudi, mwanasheria mbobezi, mwanahistoria mkomavu na Mzee wa Kanisa la Anglican Tanzania, ameletewa tu makaratasi asaini.
Siamini kama amewahi kuingia kwenye Tamasha la muziki wa singeli akaona mwenyewe jinsi muziki huo ulivyo wa kihuni.
Kama kuna watu walio karibu naye nashauri wampeleke kwenye Tamasha lolote aingie akiwa in disguise, naamini atabadili msimamo.
Tanzania kutambulishwa na muziki wa singeli ni UHAYAWANI
Tuziweke baadhi ya majina ya nyimbo zao au mm naongea mnanda kina saidi dabani au safari ya sauzi dah hyo misauti na kulalalmikaHio miziki ya kipumbavu inayoua akili za vijana thus hawana ubunifu wowote zaidi ya kulalamika maisha magumu wakati wamezungukwa na fursa tele
Unashida na singeli au na wimbo wa dulla makabila?View attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Mikoa yote imagine Hadi wamasai wanacheza singeliSingeli inajulikana mikoa mingapi? Hili jambo sidhani ni la viongozi kupanga. Waachie wananchi waamue. Kinachofanya Tanzania iwe na ugumu wa kuwa na mziki au vazi la taifa ni kuwa makabila yapo mengi sana hivyo kuja na kitu common itakuwa ngumu.
Mbona unamnyanyasa Dulla kwa kumbambikia kesi isiyomuhusuKuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako
View attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Sio kweliSipendi singeli ziko kipaskuna sana
Kabla hujaandika kitu kuwa mtulivu siyo unaandika vitu havieleweki utakuja kupigwa makofi siku mojaHamna kitu nikiwaga huko Daslamu mnapopanda kama kusikia huo muziki.
πWABARIKI VIONGOZI WAKE"
Rais amuonee huruma huyu mzee amrudishe kwenye wizara ya katiba na sheria huku aView attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Rais amuonee huruma huyu mzee amrudishe kwenye wizara ya katiba na.sheria ama ampumzishe huku alipomuweka anapuyanga tuView attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Ni upuuzimtupu, yaaani identity ya mzikiwetu iwe singeli,serious?Hamna kitu nikiwaga huko Daslamu mnapopanda kama kusikia huo muziki.