Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hatupendi vitu vya uhakika kama Mwinduka Band, Msafiri Zawose au vya Kauzeni Lyamba. Hawa wana tour kibao nje kimataifa lakini sisi hatuwafuatilii
View: https://m.youtube.com/watch?v=UPZjvJOEHho
Kauzeni Lyamba mwalimu wa muziki wa asili ya kiTanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=NYDWKe-ADng
Msafiri Zawose wa Bagamoyo live kimataifa
View: https://m.youtube.com/watch?v=oTdttwUqDYc
Wamwiduka hawa hapa:-