Singeli ni FULL UCHAFU, siyo muziki na maadili ni SIFURITatizo mziki wa singers unausishwa na uchafu na kupenda uchafu ...labda wawekeze kwenye kuufanya uhusishwe na usafi ndiyo unaweza kuwa mzuri kidogo na wahadhi kwa jamii ....kama tumeshindwa kuboresha vifaa vya kitamaduni tulivyo navyo na kuvifanya vya mvuto kama ngoma ngao mikuki na kuboresha ngoza za 8takaduni ziwe katika usasa je tutaweza kuifanya sengeri kuwa ya kisasa
MejjaBasi nitajie jina la mtunzi/ mwimbaji wa wimbo huo
Shida siyo fedha unazopata wewe kwa ku produce au alizopata Dulla Makabila kwa performance zake. Shida ni kwamba kweli muziki wa singeli ndiyo inawakikisha Tanzania? Je Waziri ametumia vigezo gani kufikia maamuzi hayo? Je amejaribu kuangalia miziki au midundo ya mikoa mingine na kushindanisha?
Je amejaribu kuangalia maudhui ya nyimbo hizo na uchezaji wake?
Muziki wenyewe ni huu hapa:-Tena bila kumung'unya maneno. Hii si Sawa.
Ndiyo maana kichwa cha habari kinasema "Nafuu tusiwe na utambulisho..."Kwahiyo bongo fleva watu awechezi uchi au awaimbi matusi au ujaisikia ile nyimbo ya mbosso ikigusana yake na yangu inanata akuna mziki ambao watu awatukani Wala akuna mziki watu wasiocheza uchi labda uwo mziki Ni wa kidini mzee au wa kikabila iyo tarabu yenyewe watu wanacheza uchi aya lete wewe mziki ambao watu awaimbi matusu au kutukana
Ha haaaa yaani sijamaliza kuusikiliza nimecheka balaa, nimeishia alivyosema dada shika ukuta😅😅😅
Umeelewa kichwa cha habari cha mada hii?Kwahiyo bongo fleva watu awechezi uchi au awaimbi matusi au ujaisikia ile nyimbo ya mbosso ikigusana yake na yangu inanata akuna mziki ambao watu awatukani Wala akuna mziki watu wasiocheza uchi labda uwo mziki Ni wa kidini mzee au wa kikabila iyo tarabu yenyewe watu wanacheza uchi aya lete wewe mziki ambao watu awaimbi matusu au kutukana
Wewe si unasema mziki wa singeli auna maadili watu wanacheza uchi na kuwimba matusi ivyo aukupaswa kuwa nembo ya taifa Sasa tuletee wewe uwo mziki ambao watu awatukaniUmeelewa kichwa cha habari cha mada hii?
Utambulisho Ni muhimu aujalishi una kosolo gani wewe ukienda ulaya ukiulizwa mziki wa singeli unapatikana wapi au unawakilisha wapi wewe utajibu vipi acha ubaguziNdiyo maana kichwa cha habari kinasema "Nafuu tusiwe na utambulisho..."
Kama hatuwezi kuomba maudhui mazuri, tunajenga taifa la aina gani?
Punguza Jelous piga KAZI.View attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
wanaimba matusi kwenye nyimbo zao?Kwahiyo bongo fleva watu awechezi uchi au awaimbi matusi au ujaisikia ile nyimbo ya mbosso ikigusana yake na yangu inanata akuna mziki ambao watu awatukani Wala akuna mziki watu wasiocheza uchi labda uwo mziki Ni wa kidini mzee au wa kikabila iyo tarabu yenyewe watu wanacheza uchi aya lete wewe mziki ambao watu awaimbi matusu au kutukana
Nitajibu muziki wa singeli unapatikana pwani ya Tanzania kwenye makabila ya watu wavivu, wanaowaza ngono tuUtambulisho Ni muhimu aujalishi una kosolo gani wewe ukienda ulaya ukiulizwa mziki wa singeli unapatikana wapi au unawakilisha wapi wewe utajibu vipi acha ubaguzi