Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

Tatizo mziki wa singers unausishwa na uchafu na kupenda uchafu ...labda wawekeze kwenye kuufanya uhusishwe na usafi ndiyo unaweza kuwa mzuri kidogo na wahadhi kwa jamii ....kama tumeshindwa kuboresha vifaa vya kitamaduni tulivyo navyo na kuvifanya vya mvuto kama ngoma ngao mikuki na kuboresha ngoza za 8takaduni ziwe katika usasa je tutaweza kuifanya sengeri kuwa ya kisasa
Singeli ni FULL UCHAFU, siyo muziki na maadili ni SIFURI
 
Vazi la Taifa chali.
Uslama wa Taifa Chali.
Mziki wa Taifa Chali.
Hivi tuna Nini hasa ?
 
Mziki hujitangaza wenyewe wala hautaji kuu ndiwa sheria. Singeli ilitakiwa iingiziwe vionjo miziki ya TZ yote 9li uwe mziki wa Taifa.
Mziki vile vile hubadirika kulingana na wakati, je ukiibuka mziki mwingine itakuwaje. Hivi wa nigeria walikaa wakapitisha mziki wa Taifa au mziki wenyewe ndio ulijipitisha na kujitambulisha kwa jamii na dunia nzima. Mziki ni kama lugha hukua na kufa.
 
Katika nyimbo za singeli niliielewa ni hii "kwani kuachana sh ngapi? " Muundaji wa mziki huu kidogo alijaribu kuwa mbunifu na kuweka vitu vingi.
Kamsikilize Hamisa mobeto uvuruge masikio.
 
Kwahiyo bongo fleva watu awechezi uchi au awaimbi matusi au ujaisikia ile nyimbo ya mbosso ikigusana yake na yangu inanata akuna mziki ambao watu awatukani Wala akuna mziki watu wasiocheza uchi labda uwo mziki Ni wa kidini mzee au wa kikabila iyo tarabu yenyewe watu wanacheza uchi aya lete wewe mziki ambao watu awaimbi matusu au kutukana
Shida siyo fedha unazopata wewe kwa ku produce au alizopata Dulla Makabila kwa performance zake. Shida ni kwamba kweli muziki wa singeli ndiyo inawakikisha Tanzania? Je Waziri ametumia vigezo gani kufikia maamuzi hayo? Je amejaribu kuangalia miziki au midundo ya mikoa mingine na kushindanisha?

Je amejaribu kuangalia maudhui ya nyimbo hizo na uchezaji wake?
 
Kwahiyo bongo fleva watu awechezi uchi au awaimbi matusi au ujaisikia ile nyimbo ya mbosso ikigusana yake na yangu inanata akuna mziki ambao watu awatukani Wala akuna mziki watu wasiocheza uchi labda uwo mziki Ni wa kidini mzee au wa kikabila iyo tarabu yenyewe watu wanacheza uchi aya lete wewe mziki ambao watu awaimbi matusu au kutukana
Ndiyo maana kichwa cha habari kinasema "Nafuu tusiwe na utambulisho..."

Kama hatuwezi kuomba maudhui mazuri, tunajenga taifa la aina gani?
 
Umeelewa kichwa cha habari cha mada hii?
 
Umeelewa kichwa cha habari cha mada hii?
Wewe si unasema mziki wa singeli auna maadili watu wanacheza uchi na kuwimba matusi ivyo aukupaswa kuwa nembo ya taifa Sasa tuletee wewe uwo mziki ambao watu awatukani
 
Ndiyo maana kichwa cha habari kinasema "Nafuu tusiwe na utambulisho..."

Kama hatuwezi kuomba maudhui mazuri, tunajenga taifa la aina gani?
Utambulisho Ni muhimu aujalishi una kosolo gani wewe ukienda ulaya ukiulizwa mziki wa singeli unapatikana wapi au unawakilisha wapi wewe utajibu vipi acha ubaguzi
 
Naona kampeni zishaanza, wahakikishe tu kama hao wanasingeli wamejiandikisha
 
View attachment 3241007

Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?

Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.

Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa

Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.

Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Punguza Jelous piga KAZI.
 
Attachments

Singeli asili yake ni mchiriku.
Mchiriku ilikuwa ni mziki usio na mambo mengi sana kama huu wa singeli.

Kama Waziri atakuwa anamaanisha mchiriku, yes yuko Sawa, mchiriku ukisimamiwa vizuri na kuwekewa mipaka unaweza kuwa mziki mzuri na identity ya Tanzania.

Swali: hivi kwanini Tanzania tunayumba kwenye kila kitu? Yaani Taifa kubwa lenye Historia kubwa halina identity? Kuanzia music wala mavazi yaani identity ni CCM.
 
Msondo ngoma walikuwa
Kwahiyo bongo fleva watu awechezi uchi au awaimbi matusi au ujaisikia ile nyimbo ya mbosso ikigusana yake na yangu inanata akuna mziki ambao watu awatukani Wala akuna mziki watu wasiocheza uchi labda uwo mziki Ni wa kidini mzee au wa kikabila iyo tarabu yenyewe watu wanacheza uchi aya lete wewe mziki ambao watu awaimbi matusu au kutukana
wanaimba matusi kwenye nyimbo zao?
 
Utambulisho Ni muhimu aujalishi una kosolo gani wewe ukienda ulaya ukiulizwa mziki wa singeli unapatikana wapi au unawakilisha wapi wewe utajibu vipi acha ubaguzi
Nitajibu muziki wa singeli unapatikana pwani ya Tanzania kwenye makabila ya watu wavivu, wanaowaza ngono tu
 
Back
Top Bottom