Nagonga mlango wakuu...

Nagonga mlango wakuu...

Huyu Ni mwenyeji Na aliaga hapa majuma machache yaliyopita!! Kama niko wrong nirekebishwe!
Ila Arabic girl leo umetujia kivingine!!
 
nagonga mlango mkuu hii heading inautata mpka kesho yan dadeq
 
Habari za mda huu wakuu... mimi ni MEMBER MPYA, hivyo nachukuwa fursa hii kupiga hodi humu ndani..
Siku nyingi nilikuwa mtu wa kuperuzi tu thread za watu mbalimbali, So nashukuru leo hii kuwa JF mtandao wa wajanja.
Naomba mnikaribishe Tafadhari
Karibu sana
 
Back
Top Bottom