Nahama, nauza vitu vya ndani

Nahama, nauza vitu vya ndani

dizzled

Senior Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
127
Reaction score
60
Niko Dodoma
Sofa watu 8 Sh. 680k
Subwoofer 120k speaker 3 base ya 4
Showcase 280k
NB: Vitu vyote vina miezi miwili tu

Watsap 0715140001

20220129_095542.jpg

20220129_095329.jpg

20220129_095412.jpg

20220129_095800.jpg
 
Kwa mujibu wa hizo picha nyingi ulizoziweka hapa JF, Naona Hilo sofa la watu watatu limetoboka hapo sehemu ya kuegemea, subwoofer nayo Kuna sehemu imepasuka, showcase naona iko poa.
 
Kwa mujibu wa hizo picha nyingi ulizoziweka hapa JF,Naona Hilo sofa la watu watatu limetoboka hapo sehemu ya kuegemea, subwoofer nayo Kuna sehemu imepasuka,showcase naona iko poa.

Kuna haja gani ya hii analysis na wakati hununui?
 
Hpolepole kwel umeamua mwenezi kuhama dodoma? Jamn hapa si KWA mwenezi hapa mmepasahau
 
Mkuu nimeamua kuhama dodoma wahuni wasije kuniua..narudi kijijini musoma.
Mkuu nakuombea MUNGU Upate wateja haraka uondoke maana hawana roho za kibinadamu kabsa,,, Sasa Ile KY Gelly pale ndani ilikuwa yako au wahuni waliacha ujumbe KWA njia ya vitendo
 
Mkuu nakuombea MUNGU Upate wateja haraka uondoke maana hawana roho za kibinadamu kabsa,,, Sasa Ile KY Gelly pale ndani ilikuwa yako au wahuni waliacha ujumbe KWA njia ya vitendo
Haikuwa yangu ile KY jelly..sina huu ufirahuni..

Ni wahuni tu walikuja na njia zao za kihuni kuninyamazisha..lakini narudi Musoma kwa wazee kujipanga upya then nitarudi mjini kupambana tena na hawa wahuni wanaotaka kula keki ya taifa hili wenyewe hadi wavimbiwe..#Kataa Wahuni.
 
Hivi kwenye Utumishi wako hukupata kavi8

[/QUOku
 
Hivi kwenye Utumishi wako hukupata kavi8
Wahuni ndani ya chama pia wapo..wameninyanganya Vietee langu licha ya kuwa nimekitumikia chama kwa uadilifu mkubwa na bado naendelea ila kuna kambi ndani ya chama zinataka nifutiliwe mbali chamani..
 
Back
Top Bottom