Pole,mshahara wa dhqmbi ni mauti...hivi nini kilikubadilishaa kutoka Mwanademokrasia hadi kimtetea Dictator muuaji MagufuliWahuni ndani ya chama pia wapo..wameninyanganya Vietee langu licha ya kuwa nimekitumikia chama kwa uadilifu mkubwa na bado naendelea ila kuna kambi ndani ya chama zinataka nifutiliwe mbali chamani..