ww dogo kasome degree ,uku dar mpaka wa masters education wanafundisha shule za kata,kama vp jiajiriNimekuwa nikifundisha shule moja hapa mjini Arusha tangu 2006 nilipohitimu mafunzo ualimu Monduli. Mimi ni mwalimu wa Physics and Mathematics O'level. Nina diploma ya kufundisha masomo hayo. Nataka kuhamia jijini Dar as soon as possible. Tafadhali ni-PM kama unanafasi ya kufundisha masomo hayo hapo Dar ili nikija ninyooke shule utakayo niongoza.
Kuhusu uwezo na uzoefu niko vizuri. Karibu
Njoo unifundishie wanangu wa3 wa nursery,bei gani kwa mwezi?Nimekuwa nikifundisha shule moja hapa mjini Arusha tangu 2006 nilipohitimu mafunzo ualimu Monduli. Mimi ni mwalimu wa Physics and Mathematics O'level. Nina diploma ya kufundisha masomo hayo. Nataka kuhamia jijini Dar as soon as possible. Tafadhali ni-PM kama unanafasi ya kufundisha masomo hayo hapo Dar ili nikija ninyooke shule utakayo niongoza.
Kuhusu uwezo na uzoefu niko vizuri. Karibu
Master sio inayofundisha bwana mdogo na kama ulikuwa hujui watu wa elimu kubwa sio effective katika ufundishaji wao wanatakiwa kubaki kama consultant wa walimu tu na si vinginevyo. Hao ndio wanaoanza kuwafundisha mambo ambayo ni above the cognitive level of the learners ili waonekane wamesoma zaidi. Yafaa nini kuua mbu kwa gobole wakati upande wa kanga upo? tafakari na chukua hatua bwana mdogo!ww dogo kasome degree ,uku dar mpaka wa masters education wanafundisha shule za kata,kama vp jiajiri
Master sio inayofundisha bwana mdogo na kama ulikuwa hujui watu wa elimu kubwa sio effective katika ufundishaji wao wanatakiwa kubaki kama consultant wa walimu tu na si vinginevyo. Hao ndio wanaoanza kuwafundisha mambo ambayo ni above the cognitive level of the learners ili waonekane wamesoma zaidi. Yafaa nini kuua mbu kwa gobole wakati upande wa kanga upo? tafakari na chukua hatua bwana mdogo!
weka matokeo yako ya o'level, A'Level na Diploma tuone uwezo wako.
ww dogo kasome degree ,uku dar mpaka wa masters education wanafundisha shule za kata,kama vp jiajiri
Wewe inakutosha kujua kuwa mimi nimeidhinishwa na baraza la mitihani la Tanzania kuwa mwalimu na kunitunuku cheti cha ualimu kama leseni ya kufundishia baada ya kufuzu(kufaulu) vigezo vyote. Matokeo ni leseni yangu na haonyeshwi kwa yeyote bila lolote.weka matokeo yako ya o'level, A'Level na Diploma tuone uwezo wako.
Afungue shule yake au?..[/QUOT
Shuleni hapafundishwi somo moja wala mawili, kila mwalimu akifungua shule yake nani atamwajiri mwenzake? kila mtu akibaki kwake wanafunzi wanapaje kufundishwa masomo yote saba au zaidi? Tafakari na chukua hatua
Wewe inakutosha kujua kuwa mimi nimeidhinishwa na baraza la mitihani la Tanzania kuwa mwalimu na kunitunuku cheti cha ualimu kama leseni ya kufundishia baada ya kufuzu(kufaulu) vigezo vyote. Matokeo ni leseni yangu na haonyeshwi kwa yeyote bila lolote.
Ntakesha jufundisha? inamaana watoto wa dar ni slow leaner sana eeh! lakini hamna shida hapo ndipo ntaonyesha umahili wangu wa kazi maana itanibidi nitumie mbinu za ziada.