Nahamia dar - changamkia ujio wangu

Nahamia dar - changamkia ujio wangu

salosalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
598
Reaction score
280
Nimekuwa nikifundisha shule moja hapa mjini Arusha tangu 2006 nilipohitimu mafunzo ualimu Monduli. Mimi ni mwalimu wa Physics and Mathematics O'level. Nina diploma ya kufundisha masomo hayo. Nataka kuhamia jijini Dar as soon as possible. Tafadhali ni-PM kama unanafasi ya kufundisha masomo hayo hapo Dar ili nikija ninyooke shule utakayo niongoza.
Kuhusu uwezo na uzoefu niko vizuri. Karibu
 
Uje na maji yako, umeme wako, usafiri wako na pesa zako sio uje utajazie barabara tu huku Tanzania kwetu kwa baba mwanaasha
 
ww dogo kasome degree ,uku dar mpaka wa masters education wanafundisha shule za kata,kama vp jiajiri
 
Njoo unifundishie wanangu wa3 wa nursery,bei gani kwa mwezi?
 
ww dogo kasome degree ,uku dar mpaka wa masters education wanafundisha shule za kata,kama vp jiajiri
Master sio inayofundisha bwana mdogo na kama ulikuwa hujui watu wa elimu kubwa sio effective katika ufundishaji wao wanatakiwa kubaki kama consultant wa walimu tu na si vinginevyo. Hao ndio wanaoanza kuwafundisha mambo ambayo ni above the cognitive level of the learners ili waonekane wamesoma zaidi. Yafaa nini kuua mbu kwa gobole wakati upande wa kanga upo? tafakari na chukua hatua bwana mdogo!
 
Uje na maji yako, umeme wako, usafiri wako na pesa zako sio uje utajazie barabara tu huku Tanzania kwetu kwa baba mwanaasha
Hata huo unayotumia, unaotumia na unalopanda respectively, ni wangu. Tafakari na chukua hatua
 
Sasa nyie hapo juu ya nini kumkatisha mwenzenu tamaa? Ameandika kwa heshima kama mwaona haiwahusu si mpite kimya kimya?
 
Ntakesha jufundisha? inamaana watoto wa dar ni slow leaner sana eeh! lakini hamna shida hapo ndipo ntaonyesha umahili wangu wa kazi maana itanibidi nitumie mbinu za ziada.
 
Master sio inayofundisha bwana mdogo na kama ulikuwa hujui watu wa elimu kubwa sio effective katika ufundishaji wao wanatakiwa kubaki kama consultant wa walimu tu na si vinginevyo. Hao ndio wanaoanza kuwafundisha mambo ambayo ni above the cognitive level of the learners ili waonekane wamesoma zaidi. Yafaa nini kuua mbu kwa gobole wakati upande wa kanga upo? tafakari na chukua hatua bwana mdogo!

cheers mate!

Nimependa unavyojiamini.kweli wewe ni mwalimu huna woga
 
weka matokeo yako ya o'level, A'Level na Diploma tuone uwezo wako.
 
I assume hapa jibu lake litakuwa hili: "Matokeo ya O'Level, A'Leve na Diploma sio yanayofundisha bwana mdogo na kama ulikuwa hujui watu wa mi-One kali kali na GPA za misifa sio effective katika ufundishaji wao wanatakiwa kubaki kama lecturers wa universities tu na si vinginevyo. Hao ndio wanaoanza kuwafundisha mambo ambayo ni above the cognitive level of the learners ili waonekane wamesoma zaidi. Yafaa nini kuua mbu kwa gobole wakati upande wa kanga upo? tafakari na chukua hatua bwana mdogo!
 
weka matokeo yako ya o'level, A'Level na Diploma tuone uwezo wako.
Wewe inakutosha kujua kuwa mimi nimeidhinishwa na baraza la mitihani la Tanzania kuwa mwalimu na kunitunuku cheti cha ualimu kama leseni ya kufundishia baada ya kufuzu(kufaulu) vigezo vyote. Matokeo ni leseni yangu na haonyeshwi kwa yeyote bila lolote.
 
Afungue shule yake au?..[/QUOT
Shuleni hapafundishwi somo moja wala mawili, kila mwalimu akifungua shule yake nani atamwajiri mwenzake? kila mtu akibaki kwake wanafunzi wanapaje kufundishwa masomo yote saba au zaidi? Tafakari na chukua hatua
 
Wewe inakutosha kujua kuwa mimi nimeidhinishwa na baraza la mitihani la Tanzania kuwa mwalimu na kunitunuku cheti cha ualimu kama leseni ya kufundishia baada ya kufuzu(kufaulu) vigezo vyote. Matokeo ni leseni yangu na haonyeshwi kwa yeyote bila lolote.

Nimependa majibu yako, inaonyesha u mwalimu makini, nitaku pm ili nipate jua matokeo yako kama sehemu ya usahili, andaa na CV kabisa
 
Ntakesha jufundisha? inamaana watoto wa dar ni slow leaner sana eeh! lakini hamna shida hapo ndipo ntaonyesha umahili wangu wa kazi maana itanibidi nitumie mbinu za ziada.

Alikuwa anamaanisha utakesha kwa kusubiri pm, mkuu usikate tamaa na mungu atakusaidia ktk mipango yako.
 
Back
Top Bottom