falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Wakuu kutokana na shughuli zangu za kibiashara sasa nimeona ni vema nikiamia nairobi kufungua depot hapo hii ni baada ya Mombasa kuiweka kiganjani.
Ikumbukwe nilisomea human resource na diplomasia lakini nimechagua kuwa mfanyabiashara, mimi ni dealer muuzaji/dalali/mkulima wa viungo vyote vya chakula haswa hiriki na karafuu zaidi katika Mombasa yote hadi Malindi na Lamu.
Hivyo watu wa Nairobi mnipokee kijana wenu. Sina familia japo nina kabinti nilimzalisha dada wa kiarabu hivyo kutokana kuwa dini tofauti nimeacha binti yangu afike miaka saba ndio nimpeleke bongo kwa bibi/nyanya yake.
Hivyo almost naishi peke yangu, mnielekeze pahali nitaweza kupata appartment kwenye usalama bila usumbufu pia pawe karibu na dada zetu wale wauzaji (ujana maji ya moto).
Mwambieni huddah ajiandae nakuja nai MK254 sam999 NairobiWalker Hoodla Iconoclastes