falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
-
- #41
Karibu mji wa wajanja, mambo hapa huendeshwa kwa kasi na utaamuka tu.
Halafu uwe mpole na vijakazi wetu ambao unadai wanapendezwa sana na lahaja yako, maana hapa lazima uporomoshe Kingereza safi ndio umshushe binti mwenye hadhi. Kiswahili, labda ukitumie kuwababaisha wasaidizi wa nyumbani.
Hahaha ww falcon mombasa kuja nai upate uhondo.....Kama hauna pesa hautawai get laid hapa juu hehehe nakuonea huruma sana....... Hebu ambia huyo mtoto wako ajifunze sheng'
Hata umpeleke international skul atapata sheng' A bado hehe
Umeacha bahari na joto la mombasa umekuja fwata swimo za baridi za nai, anyway, watu wa nai hawajui kutumia viungo vya uswahilini, kwahivyo target yako kuu unafaa ulenge customers wa kutoka coast wanaoishi jiji. Nilishangaa juzi nimeletea watu nazi na madafu. Kitu cha kwanza walikua hawajui tofauti,
Hehehe hebu fika nairobi asap nataka kuja kuchoma duka lako asap
Unahamia api?
nikizungumza kiswahili changu cha kibongo ndio watanote mapema kuwa mimi ni mjanja na wala sio kama nyinyi mnaobaka kuku na kondoo,halafu wewe MK254 mi sichukui vijakazi mi nachukua macelebrity wenu watu wenye hela zao ndio nawachukua halafu wananihonga hela,nilisema nitaanza na julie gichuru halafu huddah monroe
falcon mombasa Hehehe!! najaribu kukushauri, hapa sio mchezo, ukibainika wewe Mbongo kwa lafudhi yako, kitu cha kwanza huwajia akilini mademu wetu, kwamba wewe ni mvivu, mwoga, mlaji wa albino, na omba omba.
Labda utumie lafudhi za Kichagga hivi ndio watakuona tofauti kiaina na wa maana.
Usilete utanzania Nairobi. na tena uchunge wasichana wa humu nai, Kama huelewi lugha ya mtaa maisha yako nai itakua ngumu maana ujizingumza kiswahili cha bongo humu utaonekana mshamba,Nai sio mambasa
usijali hata kuku wenu sina time nao,mbona mademu wa nairobi wao wenyewe hunipenda hata wakija mombasa niwaramba tu.kama vp niozeshe dadako sio mbaya
Dadangu huezani,haya endelea kuota maana najua hizo ni ndoto,lakini nai huezani maana nmeona wewe ni mtu wa majivuno lakini najua ukifika nai utapunguza kwa sababu utapata wengine wanoma
Chunga na Nairobi ni hatari yani kila mtu mbiombio ukicheza unakosa usingizi,chakula,hata malazi.Unahitaji kuchangamka Nairobi si kama huku kwetu Msami ni kipenz cha mademu wa mombasa mkuu. lakin sasa nataka nipendwe na mademu wa nairobi.si unajua mi ndo kipenz cha walimbwende mwenye bahati ya mtende
sheng hata mimi nazungumza kisawasawa,hao mademu wanachukua hela kwenu,wakituona sisi wabongo akili zinawaruka hadi wanatuhonga pesa mlizowapa,by the way mi nataka dadako najua heshima itapatikana hadi humu jamiiforums
sam999 anakaa mathare
Hehehe ww na madada nn mbaya dadangu mdogo wako ako 4th yrs TUM mombasa hehe
falcon mombasa Hehehe!! najaribu kukushauri, hapa sio mchezo, ukibainika wewe Mbongo kwa lafudhi yako, kitu cha kwanza huwajia akilini mademu wetu, kwamba wewe ni mvivu, mwoga, mlaji wa albino, na omba omba.
Labda utumie lafudhi za Kichagga hivi ndio watakuona tofauti kiaina na wa maana.
nitafanya mpango hata na wadada wa kisomali pale eastleigh
depot??viungo vya pilau vinahitaji depot au chumba???ina maana unaweza kujaza ghala zima viungo vya pilau?r u sole distributor wa hivyo viungo?