falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
- #41
Karibu mji wa wajanja, mambo hapa huendeshwa kwa kasi na utaamuka tu.
Halafu uwe mpole na vijakazi wetu ambao unadai wanapendezwa sana na lahaja yako, maana hapa lazima uporomoshe Kingereza safi ndio umshushe binti mwenye hadhi. Kiswahili, labda ukitumie kuwababaisha wasaidizi wa nyumbani.
nikizungumza kiswahili changu cha kibongo ndio watanote mapema kuwa mimi ni mjanja na wala sio kama nyinyi mnaobaka kuku na kondoo,halafu wewe MK254 mi sichukui vijakazi mi nachukua macelebrity wenu watu wenye hela zao ndio nawachukua halafu wananihonga hela,nilisema nitaanza na julie gichuru halafu huddah monroe
Last edited by a moderator: