falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
-
- #81
Kumbe nilisahau kukupa mrejesho, kitu kimetulia mwake. Sasa umemwachia nani huko, me nilijua unarudi naye mombasa?!
By the way NairobiWalker Wahaya, Wasukuma na Wanyambo have a lot in common with Luhyas. Even language, there are places you'll hear words such "Mirembe" "Omwana wanje" etc
nimerudi nae,anakaa wastlands nairobi,vp nikija nae bongo mademu wa zamani wasije kuniwekea limbwata
Is Rose Muhando and her friend one of those? The name Muhando is also very popular among the Luhya and I once listened to a song they did in their mother tongue and it was 100% Luhya.
Hahahaaa.. kama umepata kipya wazamani kaa nao mbali
karibu msa mtoto mzuri
Asante, ntakuja kuchukua viungio vya mboga.
Yeah! have heard that name a lot from those places, most use Mhando instead of Muhando.
Wewe na misifa ya ngono, mademu unapenda ila labda utakuta ni jamaa hoi ukipewa demu.
Utafiti ushabaini wanaume wale hupenda kuongea mambo ya ngono sana huwa na mapungufu kwenye hiyo taaluma na wanaongea ili kujifariji.
lol,trust me a Nairobi chick ain't spending a dime on you buddy.
depot??viungo vya pilau vinahitaji depot au chumba???ina maana unaweza kujaza ghala zima viungo vya pilau?r u sole distributor wa hivyo viungo?
hapo donholm dada zetu wale wauzaji wanapatikana kirahisi?
mombasa nakaa appartment ya 10000ksh kwa mwezi,nafikir nikipata ya size hiyo itakuwa fiti sana
Nai walker, falcon anaonekana mjanja.. usije ukashangaa Vera siddika kaingia ndani ya 18...
Nai walker, falcon anaonekana mjanja.. usije ukashangaa Vera siddika kaingia ndani ya 18...
Donholm ni mostly middle class wale walio toka masters ama newly employed driving subarus and premios type ma party kila block kila usiku
hayo makabila wanapenda sana ngono,tofauti na waluhya wanapenda uchawi
hapo donie kuna shemej yako wa kisomali alikuwa ananipaga rasa akiwa mombasa
10,000Kshs kwa mwezi is all you can afford kama rent hapo Mambasa, and all this talk.
Do you have a freaking idea how much I pay for rent hapa Kasarani.
Nyumba ya 10,000 labda utafutiwe ghetto ama babysitter. Hebu angalia hii picha uone mahali unaweza ishi na hiyo 10,000 kwa mfano hapa Kasarani.