falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
- #81
Kumbe nilisahau kukupa mrejesho, kitu kimetulia mwake. Sasa umemwachia nani huko, me nilijua unarudi naye mombasa?!
nimerudi nae,anakaa wastlands nairobi,vp nikija nae bongo mademu wa zamani wasije kuniwekea limbwata