NAHAMIA SIMBA

NAHAMIA SIMBA

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
Mm shabiki kindakindaki wa yanga kuanzia leo nahamia Simba rasmi wana Simba naomba mnipokee kwann leo refa hajatubeba wakati mechi zote refa huwa anatubeba
Wana Simba naomba mnipokee
IMG_20241102_203347.jpg
IMG_20241102_203406.jpg
nimeumia sana yanga kufungwa
 
Mm shabiki kindakindaki wa yanga kuanzia leo nahamia Simba rasmi wana Simba naomba mnipokee kwann leo refa hajatubeba wakati mechi zote refa huwa anatubeba
Wana Simba naomba mnipokee View attachment 3141725View attachment 3141727nimeumia sana yanga kufungwa
Mbumbumbu mnajibanza kwenye matokeo ya Azam inabidi muikumbuke sana siku ya Leo na furaha mliyoipata inawezekana msiipate Tena mpaka ligi inakwisha
 
Back
Top Bottom