BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
pole mwaya ukishasettle nitafutie beki tatu....form four
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole mwaya ukishasettle nitafutie beki tatu....form four
karibu sana shoga angu nimefurahi sana hadi nalia,nasikiaga dar wing,arusha wing sijui nini wing lakin singida wing no sikia kwa kweli kwa ujio wako naona utakuwa wa kheri nasi tutatokelezea kwenye front page ya cc ka hivi ;
wera, wera,weraaaa!! ujio wa Evelyn Salt na uzinduzi wa singida wing watajibeba..............,
ijumaa hii uzinduzi unahusu!!!!!!!!!!!!
ha ha ha nshampata mwenyeji wa kunirahisishia maisha....!!!!!!
karibu sana shoga angu nimefurahi sana hadi nalia,nasikiaga dar wing,arusha wing sijui nini wing lakin singida wing no sikia kwa kweli kwa ujio wako naona utakuwa wa kheri nasi tutatokelezea kwenye front page ya cc ka hivi ;
wera, wera,weraaaa!! ujio wa Evelyn Salt na uzinduzi wa singida wing watajibeba..............,
Kumbe huko hapo singida!
mmhh wasiwasi moyoni mashaka kichwani..... take care
yeah unaelekea Singapore....?
We mdada Evelyn Salt tukutane ile pande ya.mtasha basi..... lini sema kabla hujaondoka...!!
Shaka ondoa maisha kusaidiana haya.....ha ha ha!!!!!!!!!
we huwezi kunisaidia?????
naweza ndio maana nikitoka hapa arusha ntakupitia hapo kabla sijatia timu Dar
W'end ma, naomba uje nae ili ninywe hadi nitambae mie....
si unajua tena kidali po.