Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Okay nashkuru mkuu kwa kunifahamishaRuvu bucha la serikali
Huwa naenda kigamboni sehemu inaitwa maweni wanauzaKuingia mwezi huu mtukufu wa Ramadan nahitaji sana kupata nyama ya swala, nyati, pofu pia nahitaji kupata mayai ya mbuni na firigisi zake.
Ili kufanikiaha upatikanaji huo nahitaji anayejua mahali nyama hizo zinapouzwa anijulishe hapa nifatilie vitoweo.
Mwachiluwi utaeleza unatoa wapi nyara 🤣🤣Mwachiluwi alikuwa anapika.
Uku watoto wadogo hawatakiwi muulize mbio anazo nimpe locationMwachiluwi alikuwa anapika.
Kwanza sijui siku hizi yuko wapi huyu jamaa.Mwachiluwi utaeleza unatoa wapi nyara 🤣🤣
Kwenye makorongo ukoo una kuta wamejiotea tuMwachiluwi utaeleza unatoa wapi nyara 🤣🤣
Mkuu kumbe bado upo bhana!Uku watoto wadogo hawatakiwi muulize mbio anazo nimpe location
Yupo anawachungaKwanza sijui siku hizi yuko wapi huyu jamaa.
Pofu au swala? Mme waoteshea na nyanyaKwenye makorongo ukoo una kuta wamejiotea tu
Siku hizi mbona haleti zile nyuzi moto moto za upishi. Mwachiluwi.Yupo anawachunga
Kwani wanauza kimagendoMwachiluwi utaeleza unatoa wapi nyara 🤣🤣
Hapana. Hawauzi piaKwani wanauza kimagendo
Kama upo dsm, unaweza kusogea mitaa ya salasala baada ya jambo supermarket kama unaelekea kwa harmonise konde bwai hapo katikati kuna bucha la nyamapori.Kuingia mwezi huu mtukufu wa Ramadan nahitaji sana kupata nyama ya swala, nyati, pofu pia nahitaji kupata mayai ya mbuni na firigisi zake.
Ili kufanikiaha upatikanaji huo nahitaji anayejua mahali nyama hizo zinapouzwa anijulishe hapa nifatilie vitoweo.