Nahamu sana ya kula mishkaki ya swala, nitapata wapi duka la Nyamapori

Nahamu sana ya kula mishkaki ya swala, nitapata wapi duka la Nyamapori

Ulishawahi kuila? Ulipata wapi? Sidhani kama unaweza kuwa na hamu na kitu ambacho hujawahi kukionja!
Chakura ya waarabu hiyo waswahili ni kuwaangalia kwenye luninga tu ,wabongo kura nguruwe poli. Magufuli aliruhusu kuwe na bucha za hizi nyama watu wainjoy nchi yao ila ndio hivo tena wakati wake ulikwisha.
 
Kama upo dsm, unaweza kusogea mitaa ya salasala baada ya jambo supermarket kama unaelekea kwa harmonise konde bwai hapo katikati kuna bucha la nyamapori.
Sawa mkuu ntasogea nipate kitoweo
 
Muda si muda utakula mishikaki ya mbwa
 
Back
Top Bottom