Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanajf naomba msaada nawiki sasa naharisha na nikitakakula tu tumbo linauma nikila au kunywa maj linauma na nikiinama pia hivi tatzo nini naomba ushauri wenu ila hosptal nilienda
Asanteh ntafanya hv
Dawa ya kuzuia kuharisha kamuwa Machungwa yawe lita 1 kunywa kwa siku glasi 1x3 Asubuhi, mchana na usiku utapona kuharisha mafrey kunywa hayo machungwa usile kitu siku nzima utafunga kuharishaHabari wanaJF,
Naomba msaada na wiki sasa naharisha na nikitaka kula tu tumbo linauma nikila au kunywa maj linauma na nikiinama pia.
Hivi tatizo nini naomba ushauri wenu ila hosptal nilienda.