Naharisha yapata wiki sasa

Naharisha yapata wiki sasa

mafrey

Senior Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
107
Reaction score
10
Habari wanaJF,

Naomba msaada na wiki sasa naharisha na nikitaka kula tu tumbo linauma nikila au kunywa maj linauma na nikiinama pia.

Hivi tatizo nini naomba ushauri wenu ila hosptal nilienda.
 
Acha masihara na afya yako, nenda hospitali ufanyiwe vipimo
 
Huarishi damu???hivyo kama sio vidonda vya tumbo!!
 
Je tumbo lina jaa gesi na vishindo kwa sana. Hiyo yaweza kuwa amoeba. Kapime. Ukikutwa na amoeba Norfloxacin Tinidazole hapo ndio mahala pake.
 
Siharishi damu ila hospital nilienda wakanpa dawa zakutafuna
 
Habari wanajf naomba msaada nawiki sasa naharisha na nikitakakula tu tumbo linauma nikila au kunywa maj linauma na nikiinama pia hivi tatzo nini naomba ushauri wenu ila hosptal nilienda

Kama ni kuharisha kwa kuchanganya vyakula...dawa yake ni ndogo sana...chukua dafu then kamulia ndimu/limao then unywe mchanganyiko wa maji ya dafu na limao...
 
Kama ni kuharisha kwa kuchanganya vyakula...dawa yake ni ndogo sana...chukua dafu then kamulia ndimu/limao then unywe mchanganyiko wa maji ya dafu na limao...

Asanteh ntafanya hv
 
Je tumbo lina jaa gesi na vishindo kwa sana. Hiyo yaweza kuwa amoeba. Kapime. Ukikutwa na amoeba Norfloxacin Tinidazole hapo ndio mahala pake.

Halijajaa gesi zaid ya kunyonga tu
 
Habari wanaJF,

Naomba msaada na wiki sasa naharisha na nikitaka kula tu tumbo linauma nikila au kunywa maj linauma na nikiinama pia.

Hivi tatizo nini naomba ushauri wenu ila hosptal nilienda.
Dawa ya kuzuia kuharisha kamuwa Machungwa yawe lita 1 kunywa kwa siku glasi 1x3 Asubuhi, mchana na usiku utapona kuharisha mafrey kunywa hayo machungwa usile kitu siku nzima utafunga kuharisha
 
Daktari alikupa dawa gani na akakwambia una tatizo gani?
 
Back
Top Bottom