Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Kwa msimu ule ilibidi aachwe tuu kutokana na wachezaji waliokuwepo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nashangaa wanaolinganisha wachezaji ambao hawakupishana kwenye kikosi. Ni miaka miwili tangu Shiboub aachwe hadi Kanoute asajiliwe, sasa utaulizaje sababu ya kuachwa na kusajiliwa kwa hao? Ingefaa swali liwe kwa nini tulimuacha Shiboub tukamsajili Rally Bwalya, hapo walau kuna swali. Eti mtu leo aje aulize kwa nini tulimuacha Laudit Mavugo tukamsajili Perfect Chikwende, wakati katikati yao kuna misimu kibao imepita!Aliachwa shiboub, akasajiliwa Rally bwalya.
Hakukua na makosa yoyote hapa tena ilikuwa move sahihi zaidi.
Tukija kwa kijana Mpole, hii ni habari nyingine.
Box to Box.....Utamuona anazuia utamuona anashambulia ( kwa ufasaha).
Hawa ndio wabongo, wakiamua kuzua tu wanazua.Na mimi nashangaa wanaolinganisha wachezaji ambao hawakupishana kwenye kikosi. Ni miaka miwili tangu Shiboub aachwe hadi Kanoute asajiliwe, sasa utaulizaje sababu ya kuachwa na kusajiliwa kwa hao? Ingefaa swali liwe kwa nini tulimuacha Shiboub tukamsajili Rally Bwalya, hapo walau kuna swali. Eti mtu leo aje aulize kwa nini tulimuacha Laudit Mavugo tukamsajili Perfect Chikwende, wakati katikati yao kuna misimu kibao imepita!
Tunapenda majina Kanoute, Sakho tukiona majina hayo tunajiona kama kina Kanoute wa West ham united. Ndio yale kama ya Yanga Juninho wakadhani wamekuwa Liverpool. Tuwe wa kweli mchezaji mzuri wa West Africa atakuja huku kwetu kakosa sana ataenda Belgium.Sharaf Eldin Abrahaman Shibob,sidhan kama nipo sahihi hapo kwenye jina ila alikuwa bonge la player ni Simba tu vile tunapenda kuharibu vipaji vya wachezaji
Kama sikosei yuko algeria,yule jamaa anajua sana mimi ni Yanga lakini karibia msimu wa pili huu kuna jamaa wa kamati ya usajili uwa nawashtua wamsajili shiboub but inaonekana kumchomoa huko aliko mpunga mrefuHivi shiboub ana cheza timu gani kwa sasa
Nimepitia comments za watu hapa lakin naona kuna baadhi ya watu ni weupe sana ktk kuchanganua mambo.Mara nyingi ni ngumu sana kulinganisha wachezaji waliokaribiana viwango. Kwa mtizamo wangu mimi naona Kanoute kamzidi Shiboub kwenye vitu vingi kama vifuatavyo:
1. Kanoute japo ukimwangalia kwa wasiwasi anaonekana laini laini lakini anakaba na anafika sana mwilini kwa wachezaji wa timu pinzani zaidi ya Shiboub.
2. Kanoute ana pumzi sana kuliko ilivyokuwa kwa Shiboub. Shiboub alikuwa anacheza vizuri dakika 35 - 40 baada ya hapo upepo unakata haonekani tena uwanjani. Na hii inatokana na Shiboub kuwa na umri mkubwa sana.
3. Kanoute ni "box to box" wakati Shiboub alikuwa anaweza kucheza kiungo cha juu vizuri tu.
4. Kanoute ana jicho kali na anapiga pasi kwa usahihi zaidi ya Shiboub.
5. Kanoute yupo "fast " sana lakini Shiboub alikuwa "slow"
Kwa Kanoute ni mechi moja tu ameonyesha umahiri wake. Iwapo atashindwa kuendeleza alichokifanya jana nitakuwa tayari kubadili mtizamo wangu hapo juu.
Ni kweli mkuu lakini tuonyeshe ukomavu kwa kuwavumilia watu kama hao pale tunapopishana nao kwenye maoni. Kikubwa watu kama hao lazima wawepo kwenye jamii ili jamii ikamilike. Tukatae tukubali tunaweza kukaa watu 100 kuangalia mechi fulani au kumtazama mchezaji fulani "specific" na kila moja akaja na hoja yake tofauti kabisa na mwingine anavyoona. Na yote hii inatokana na "background" ya kila mmoja kwenye mpira.Nimepitia comments za watu hapa lakin naona kuna baadhi ya watu ni weupe sana ktk kuchanganua mambo.
We unafaa uwepo ktk kamati ya usajili.
Sio hawa wenzetu vitu vya nyuuma wanavileta leo.
Simba hii kweli ya ni kuilam kamati?
Eti watu wamefura kwa kupigwa jana
ile Tp Mazembe wamekamilika.![]()
Mnataka tuletewe Timu za kawaida ili tushinde kwa kupata ushindi?
No Simba ya sasa tushatoka kule
Nlipenda ule mfumo ktk kikosi cha jana kilichoanza wageni walikuwa 2 tu.
asee we acha tu ata ka kahata niliumia sanaMtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba.
Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza kwa mtazamo wangu wa Jicho Kali la Kiufundi naona Shiboub amemzidi vingi Kanoute.
Kwa kusema hivi simaanishi kuwa Mightier sijapendezwa na Usajili wa Kiungo Kanoute kwani nimeona ni mzuri ila Simba SC kumuacha Shiboub na kumsajili Kanoute ni sawa na Manchester United FC iachane na Paul Scholes halafu imsajili kwa Mbwembwe Nicky Butt.
Nilisikitika mno Kuachwa kwa Shiboub.
[emoji119]Ni kweli mkuu lakini tuonyeshe ukomavu kwa kuwavumilia watu kama hao pale tunapopishana nao kwenye maoni. Kikubwa watu kama hao lazima wawepo kwenye jamii ili jamii ikamilike. Tukatae tukubali tunaweza kukaa watu 100 kuangalia mechi fulani au kumtazama mchezaji fulani "specific" na kila moja akaja na hoja yake tofauti kabisa na mwingine anavyoona. Na yote hii inatokana na "background" ya kila mmoja kwenye mpira.
MC AlgierHivi shiboub ana cheza timu gani kwa sasa
Yes nilkosea nikamjibu mwamba mmoja kule kuwa ni MC AlgierYupo CS Constantine ya Algeria
Yaani tangia Mchambuzi Farhani wa Clouds FM aseme kuwa Kanoute ni the box to box Midfielder basi kila Mtu sasa akimuelezea Kiungo Kanoute ni lazima aseme neno box to box ili mradi nae aonekane amechambua na anaujua Mpira.Mara nyingi ni ngumu sana kulinganisha wachezaji waliokaribiana viwango. Kwa mtizamo wangu mimi naona Kanoute kamzidi Shiboub kwenye vitu vingi kama vifuatavyo:
1. Kanoute japo ukimwangalia kwa wasiwasi anaonekana laini laini lakini anakaba na anafika sana mwilini kwa wachezaji wa timu pinzani zaidi ya Shiboub.
2. Kanoute ana pumzi sana kuliko ilivyokuwa kwa Shiboub. Shiboub alikuwa anacheza vizuri dakika 35 - 40 baada ya hapo upepo unakata haonekani tena uwanjani. Na hii inatokana na Shiboub kuwa na umri mkubwa sana.
3. Kanoute ni "box to box" wakati Shiboub alikuwa anaweza kucheza kiungo cha juu vizuri tu.
4. Kanoute ana jicho kali na anapiga pasi kwa usahihi zaidi ya Shiboub.
5. Kanoute yupo "fast " sana lakini Shiboub alikuwa "slow"
Kwa Kanoute ni mechi moja tu ameonyesha umahiri wake. Iwapo atashindwa kuendeleza alichokifanya jana nitakuwa tayari kubadili mtizamo wangu hapo juu.
Sadio Kanoute na Sakho wamekuja na Sakho alikuwa mchezaji bora wa Tuengue Fc ya Senegal.Tunapenda majina Kanoute, Sakho tukiona majina hayo tunajiona kama kina Kanoute wa West ham united. Ndio yale kama ya Yanga Juninho wakadhani wamekuwa Liverpool. Tuwe wa kweli mchezaji mzuri wa West Africa atakuja huku kwetu kakosa sana ataenda Belgium.
Angebakizwa huyu Rally Bwalya mngemjua? Nani ambaye Kakudanganya kuwa Shiboub aliachwa na Simba SC kwa kushuka Kwake Kiwango? Msilolijua ni sawa na Usiku wa Giza.Na mimi nashangaa wanaolinganisha wachezaji ambao hawakupishana kwenye kikosi. Ni miaka miwili tangu Shiboub aachwe hadi Kanoute asajiliwe, sasa utaulizaje sababu ya kuachwa na kusajiliwa kwa hao? Ingefaa swali liwe kwa nini tulimuacha Shiboub tukamsajili Rally Bwalya, hapo walau kuna swali. Eti mtu leo aje aulize kwa nini tulimuacha Laudit Mavugo tukamsajili Perfect Chikwende, wakati katikati yao kuna misimu kibao imepita!