Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mkuu umeongea kweli labda nikianza mimi yeye atafata itakuwaa anaogopaSasa si uanze ww kuwa romantic [emoji23]naona ukianza ww na yeye atafuata,
kwa kweli mambo ya kuwa serious muda wote sio poah![emoji23]
Huwezi hata kuchomeka kautani [emoji4] hapana aisee.
Kweli mkuu nahsi naitajika kuupunguza sasa userious ili nimuweke huru kuongea na kufanya chochote
Case closed.Wewe je, upo romantic kwake?!
Au unataka yeye tu awe romantic.
Mpe pesa nyingi kila siku atakuwa romantic!!
Kunakujaga automatically ukimpenda mtu utajikuta unakuwa Ivo,sasa hujampenda unasubiri akupe tu hela ya kikoba usepe uromantic utatoka wapi🙄Kuwa Romantic ndio kuwaje to yeye ....???
Naona wengi wanazungumzia humu,,,ni Natural au lazima u- act....??kama Muvi za Wafilipino....
B=PHabari wakuu.
Naimani wote niwazima kabsa.
Iko hivi wakuu wiki ya 2 sasa inaenda niko na mahusiano na mwanamke mmoja yuko powa Sana huyu Dada nikatokea kumuelewa nilimuomba namba na yeye akachukua za kwangu tukaanza conversations vizuri tu.
Basi mambo yakaendelea nikaamua kumtongoza sasa mi nimtu ambae niko serious Sana anytime nakumbuka siku ambayo nilimtongoza huyu Dada nilikuwa nimekaanae lakini uwezi amini that time nilikiuwa namtongoza huyu Dada yaan alikuwa anahema Sana sasa nikamuuliza vip unatatizo gani akaniambia unajua we uko serious Sana yaan mbaka sijui hata nikujibu nini lakini kiukweli nilivutiwa na wewe toka siku ya kwanza na kiukweli nakupenda.
Basi tukaingia kwenye mahusiano lakini uwezi amini now ni wiki ya pili inaenda kuisha ghafra huyu Dada sina hisia nae mbaka nashangaa kwanini lakini naamini nikutokana na the way anavonichukulia ni mtu serious sasa huyu Dada hajawah kuwa romantic na wala kuongea vitu romantic vya mapenz hata vya faragha nikiwa mimi na yeye.
Sababu nahisi anaogopa Sana kuongea na kufanya hayo mambo sababu anajua mi nimtu mserious sana kwaiyo anaogopa ataanzia wapi na anaona nitamchukulia tofauti labda nitakuja muona analeta ujinga labda labda sjui nini sasa hii inapelekea hata akinipigia sm huwa tunaongea tu kawaida na mwisho hawezi tena kuvuka mpaka kuongea Sana vitu vya kimapenz nahsi anaogopa.
Sasa hii naona ndo inanipelekea mimi kumuona yuko normal Sana na mimi kupoteza feeling kwake yaan hisia zishapotea kabsa japokuwa nampenda ndio na ninamuhtaji.
Wakuu em nishaurini nifanye nini juu ya hili ili nirudishe feeling na kumpenda zaidi maana kunakoelekea naona kabsa ntakuja kuchukua uamuzi wa kumpotezea na sihitaji nifanye hivyo.
Karibuni wakuu na Polen kwa usumbufu.
Mwisho wa siku kambi ikanyewa sio..Serious alikuwa samson ila nyege zikamfanya auze siri za kambi