Nahisi ananiogopa hadi tunashindwa kuwa "romantic"

Nahisi ananiogopa hadi tunashindwa kuwa "romantic"

Sasa mbona iyo ni ishu ndogo tu acha userious anza ukomedi watoto wa zuri wanapenda kuchekeshwa chekeshwa tumekula sana watoto kwa dizain izo enzi cha chuo huko na secondary
 
Basi mambo yakaendelea nikaamua kumtongoza sasa mi nimtu ambae niko serious Sana anytime nakumbuka siku ambayo nilimtongoza huyu Dada nilikuwa nimekaanae lakini uwezi amini that time nilikiuwa namtongoza huyu Dada yaan alikuwa anahema Sana sasa nikamuuliza vip unatatizo gani akaniambia unajua we uko serious Sana yaan mbaka sijui hata nikujibu nini lakini kiukweli nilivutiwa na wewe toka siku ya kwanza na kiukweli nakupenda.
Ni vizuri kuwa serious ila usipindukie.
 
Kuna maswali unatakiwa ujiulize mkuu anakuogopa maybe wewe ni nani haswa? Na je since akiwa mtoto hakuwah kukutana na watu siriaz zaidi yako? Ila kwa tahadhari tu jaribu kumdadisi inawezekana ndo hawa hawa wa mchana plate namba ya njano usiku plate namba nyeupe yaani mzigo unaliwa kukicha hvyo hana u romantic wowote she want money tu, inaweza isiwe kama niwazavyo ila TAKE CARE
 
Mwanamke ni kama maji, anakuwa vile mwanamume anavyotaka awe, ukiweka kwenye chupa ya pembe 4 yatakuwa hivyo, ukiweka duara itakkuwa hivyo.. Otherwise uwe umechukua barafu, hapo ndipo kwenye kazi mpaka umrudishe kwenye umajk maji. 😂
 
Back
Top Bottom