Nahisi ananiogopa hadi tunashindwa kuwa "romantic"

Embu punguzaga huo userious nawewe na uanze kua na kauromantic walau kidogo..khaa
 
Sasa si uanze ww kuwa romantic [emoji23]naona ukianza ww na yeye atafuata,
kwa kweli mambo ya kuwa serious muda wote sio poah![emoji23]
Huwezi hata kuchomeka kautani [emoji4] hapana aisee.
Yeah mkuu umeongea kweli labda nikianza mimi yeye atafata itakuwaa anaogopa
 
Embu punguzaga huo userious nawewe na uanze kua na kauromantic walau kidogo..khaa
Kweli mkuu nahsi naitajika kuupunguza sasa userious ili nimuweke huru kuongea na kufanya chochote
 
Acha mapenzi ya kishule shule ya kuongea upuuz kwenye sm mpaka simu inachemka,itakuwa unamapungufu ya nguvu za kiume tu
 
Acha mapenzi ya kishule shule ya kuongea upuuz kwenye sm mpaka simu inachemka,itakuwa unamapungufu ya nguvu za kiume tu
Mkuu umeelewa umesoma vizur uzi na kuuelewa au umecomment tu baada ya kushtuka usingizini
 
Kuwa Romantic ndio kuwaje to yeye ....???

Naona wengi wanazungumzia humu,,,ni Natural au lazima u- act....??kama Muvi za Wafilipino....
 
Mpe ATM kadi atajibebisha vya kutosha na utafurahia kunyandua ila kwenye hiyo kadi kuwe na mzigo wa maana sio laki tano,sita au saba atakuona ndezi tu.
Mwambie hii ATM kadi ni kwa ajili ya matumizi yako madogo madogo.
 
Kuwa Romantic ndio kuwaje to yeye ....???

Naona wengi wanazungumzia humu,,,ni Natural au lazima u- act....??kama Muvi za Wafilipino....
Kunakujaga automatically ukimpenda mtu utajikuta unakuwa Ivo,sasa hujampenda unasubiri akupe tu hela ya kikoba usepe uromantic utatoka wapi🙄
 
Nimesoma paragraph mbili za mwanzo jamani hujampenda huyo mdada mwacheee!!
Wapendanao chemistry haitafutwi kama Hela it's automatically
 
B=P
 
Blaza hapo tatizo ni wewe, mwanamke hana shida yoyote na amekuambia tangu mwanzo tatzo lako upo serious sana na wewe unajua hilo sasa kwanini usibadirike..? Ukiendelea hvyo wanawake watakua wanakukimbia...
Mimi mwenzako nipo serious na kama mtu sijazoeana ndio kabisa sina time nae, ila the moment ninamtaka mwanamke huwa nabadirika nakuwa romantic hadi huwa hawaamini kama naweza kuwa romantic, nikiwa na mpenz wangu sura ya mbuzi naiweka pembeni kias kwamba mwanamke anakua huru na mimi anaweza hata kujamba mbele yangu 😂 kuna muda mnatakiwa muongee mambo ya kipuuzi tu ktk mahusiano maana mapenz 70% ni furaha. Ukiona mwanaume mpenz wako hakupi umbea ujue una kasoro wewe hujajiweka kuwa rafik na mpenz kwake (kawaida wanawake mtu wa kwanza kumpa umbea/siri ni mpenz wake)...
Badirika anza kuwa romantic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…