Nahisi ananiogopa hadi tunashindwa kuwa "romantic"

Sasa mbona iyo ni ishu ndogo tu acha userious anza ukomedi watoto wa zuri wanapenda kuchekeshwa chekeshwa tumekula sana watoto kwa dizain izo enzi cha chuo huko na secondary
 
Ni vizuri kuwa serious ila usipindukie.
 
Kuna maswali unatakiwa ujiulize mkuu anakuogopa maybe wewe ni nani haswa? Na je since akiwa mtoto hakuwah kukutana na watu siriaz zaidi yako? Ila kwa tahadhari tu jaribu kumdadisi inawezekana ndo hawa hawa wa mchana plate namba ya njano usiku plate namba nyeupe yaani mzigo unaliwa kukicha hvyo hana u romantic wowote she want money tu, inaweza isiwe kama niwazavyo ila TAKE CARE
 
Mwanamke ni kama maji, anakuwa vile mwanamume anavyotaka awe, ukiweka kwenye chupa ya pembe 4 yatakuwa hivyo, ukiweka duara itakkuwa hivyo.. Otherwise uwe umechukua barafu, hapo ndipo kwenye kazi mpaka umrudishe kwenye umajk maji. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…