38 unalilia urithi?Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya chama cha mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.
Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni naskia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.
naskia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye izo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.
kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.
Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
mkuu ni baba yangu mzazi kabisaa, ata tukienda kupima DNA, lazima na mimi niwe sehemu ya ulithiWakati baba yako anatafuta usiku na mchana mlikuwa wote.
Pambana kijana tafuta pesa zako
Hayo ma mali yaneleta ugomvi, huwezi fanyia chochote
Miaka 38 unalilia urithi?, baba yako pia alirithi?. Achana na mali za urithi, baba yako ndio anamamlaka ampe naniHabarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.
Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.
Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.
Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.
Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Kijana wa miaka 38. Mungu akurehemuHabarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.
Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.
Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.
Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.
Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Wiki iliyopita ulidai una miaka 37. wiki hii umeongeza mwaka mmojaHabarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.