Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Mali zake au zako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini uumie kwa mali isiyo yako!!! Wew ni mwanaume pambana utafute vyako tena uje usaidie hawo ndugu zako.
Soma Mathayo 6:19-21.
 
Mkuu pambana sana upate urithi kwa sababu huo urithi ni haki yako kabisa. Ikiwezekana mtafute mzee Polepole mkampe kadi huyo mdingi kwa lazima. Kwanini anataka kukunyima haki yako wewe kijana mdogo kabisa ambaye hujafikia umri wa kujitetegemea?! afe beki afe kiba lazima wewe mtoto upate haki yako.
 
asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri, mungu akubariki sana
 
Kwanza wewe siyo kijana. Halafu baba yako ana akili sana. Ulivyomtaka kuwa na kadi ya CCM kwa akili yake kubwa akaamua kukufukuza kabisa. Ana akili kubwa sana. Inaonekana akili yako ulichukuwa upande ule mwingine.
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Kuna siku utadai chama chako pia kikugawie kiasi cha mapato yake!

Kuna kitu umefanya zaidi ya kadi ya ccm au muulize mama vizuri
 
Urithi wa lazima kutoka kwa baba kwenda kwa mtoto ni ELIMU; na elimu ya lazima ni hadi kidato cha nne. Kama baba yako amekusomesha hadi kiwango hicho, halazimiki kukupa mali yoyoye nyingine - ni utashi wake, Angeweza hata akaamua kuuza tu na usingeweza kumuwekea pingamizi.
At 38 ulipaswa uwe na shughuli inayokuingizia kipato. Mimi sidhani kama kumshawishi baba yako aingie ccm ndiyo chanzo cha ugomvi wenu. Kuwa muwazi ili tukusaidie, any way, nenda kamuangukie baba yako muombe msamaha kwa makosa uliyomtendea, waombe wazee wa ukoo au marafiki zake wakusaidie.
Ukiendelea kuwa ngangari hakika utakosa vyote.
Na hili liwe funzo kwa vijana wote!
 
Nakazia na kukumbushia ulichoambiwa na baraza la kata kuhusu mental status yako.

Hawakukosea!
 
Muulize mama yako kwa nini baba yako anakutenga wewe!! ukute ameshajua kwamba mama yako alimbambikia mtoto sio damu yake, alafu Cha pili ni kwamba acha ujinga wa kutolea macho urithi wa baba yako kwa nini wewe usitafute vya kwako mpaka unasubilia vya urithi??
 
Kwa umri hata wajukuu ungekuwa nao, achana na pesa ya uridhi mbona wengine wameanza kujitafutia mapema? Sasa utaoa lini wanawake walia hawana waume wewe sahizi unalilia urithi kwa Baba mbona kazi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama wewe ni mtoto wake ...lakini hakuna mahali popote sheria inalazimisha urithishwe mali za babaako. yeye ndie mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu mali zake, Ukipeleka kesi kama hii katika mabaraza ya kutafuta suluhu hawataikataa wataipokea lakini mwisho wake mwenye mali ndio mwenye uamuzi wa nani ahusishwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Shame on you 38 years Bado unaishi kwa baba yko? Zee zima huna hata aibu hkf now unazungumzia urithi? Tafuta Mali zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom