chambalo kafao
Senior Member
- Feb 8, 2014
- 193
- 209
Siyo lazima. Kurithisha ni hiari ya mmiliki wa mali. Ipo mifano mingi inayoonesha mmiliki wa mali ana uhuru wa kugawa mali yake anavyotaka. Wewe badala ya kushughulikia mahusiano mema na mzazi wako, takwa la kidini, unashughulikia urithi. Umekosea. Na kwa Mungu umelaanika. Maana Umeshindwa kuheshimu wazazi. Pole Mzee. Maana miana miaka 38 wewe ni Baba unayetakiwa kuwarithisha wanao mali ulizozalisha enzi za ujana wako.mkuu ni baba yangu mzazi kabisaa, ata tukienda kupima DNA, lazima na mimi niwe sehemu ya ulithi
Sent using Jamii Forums mobile app