Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

Acha ufwala wewe, nenda ulikoajiliwa Lumumba pale ukapate haki yako. Kila mtu atakula alikopeleka mboga. Dingi yuko sawa, wewe huwezi kuwa mwanachama was sssisssiemu afu utegemee kwa baba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana hamaanishi alichokiandik...nafkiri kua Kuna mtoto ndani ya chama kanyimwa wadhifa na fadha hausi
 
Achana na mambo ya urith,n heri ujifanye mjinga kweny maeneo hayo ,
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo acha ujinga baba yako anataka kukudhulumu kwani hizo mali mna mkataba nae au mlikua na ushirika kwenye kuzitafuta, kwenye dishi lako itakua kuna nati zimelegea nenda kawaone wataalamu wa afya ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.
Huna haki ya kadai kisicho chako
Katafute mali yako
Huyo anagawa mali yake sheria haimzuii
 
kwa umri wako na akili zako,ameona kuwa wewe siyo mwanae.Jitafakari
 
Ungeishi na mzee wako kwa hekima wala haya yote yasingetokea
 
Tuambie dini yako na mzee wako
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Kwa mujibu wa Sheria za Mirathi (kiislamu, kimilila na kiserikali) mzazi hana wajibu wa kugawa mali kwa mtu kwavile tu ni mwanae.
Na kwa kesi yako, Sheria za Kimiliza kuhusu Mirathi (soma Local Customary Law (Declaration) Order, 1963) baba yako anahaki ya kukunyima mali katika wosia wake (disinheritance) kwavile hauna mahusiano naye mazuri au kwavile haumtii.
Nakuomba usome Sheria hizo na pili ninakushauri upate ushauri wa kisheria kutoka kwa wanasheria ili uweze kujua vema suala lako. Pole sana ndugu yangu kwa yanayokusibu, ila kwa bahati mbaya Sheria haipo upande wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa Mengi wameenda mahakamani kupinga wosia kwa kuwa baba yao hakuwagawia hivyo alikuwa kachangamyikiwa!

Fuata nyayo zao kesi zenu hazitofautiani.
Kesi ni tofauti, hapa mzazi wake yupo hai na anauhuru kumnyima mali zake mtu yeyote. Wosia ni mtu huandika wakati wa uhai ili utumike akifariki, hii ni tofauti mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa Sheria za Mirathi (kiislamu, kimilila na kiserikali) mzazi hana wajibu wa kugawa mali kwa mtu kwavile tu ni mwanae.
Na kwa kesi yako, Sheria za Kimiliza kuhusu Mirathi (soma Local Customary Law (Declaration) Order, 1963) baba yako anahaki ya kukunyima mali katika wosia wake (disinheritance) kwavile hauna mahusiano naye mazuri au kwavile haumtii.
Nakuomba usome Sheria hizo na pili ninakushauri upate ushauri wa kisheria kutoka kwa wanasheria ili uweze kujua vema suala lako. Pole sana ndugu yangu kwa yanayokusibu, ila kwa bahati mbaya Sheria haipo upande wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimwuliza dini ili nipate pa kuanzia, kwa waislam mgawanyo wa urithi ni automatic katika Surat Al-Nisa sijawa na uhakika wa mazingira ya mtoto (heir) kunyimwa sehemu ya urithi wake, kwenye customary law mzazi anaweza kumnyima mtoto urithi ila lazima amwambie wazi sababu ya kumnyima urithi, kwa wakristu hakuna sharti la mzazi kumpa mtoto urithi.Bila ya kujalisha dini, mtoto alie chini ya miaka 18 anastahili na atapewa sehemu yake ya urithi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya kufukuzwa na kunyimwa urithi ni moja, mzembe hajishughulishi, wadogo zake wapo juu kuliko yeye. Urithi kagawa mapema aliona dalili za yeye kudhurumu wenzie. Pole sana mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
kikoozi miaka yako halisi ni ngapi? Jan ulikuwa 31, Leo may 38 how comes?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona ukikomaa na ccm utapata urithi aisee....

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu upo serious uzi wa kwanza niliuona sikuchangia, kama ni kweli kamuone daktari wa saikolojia una tatizo.

Itakusaidia Sana.
 
mkuu ni baba yangu mzazi kabisaa, ata tukienda kupima DNA, lazima na mimi niwe sehemu ya ulithi
Kwa umri ulionao na kulilia urithi ni vitu viwili tofauti, jaribu ku focus na mambo yako Kwanza , huo urithi ukukute Kama zali tu.

Sent
 
Back
Top Bottom