Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

Mdogo wangu Kikoozi, tena una bahati hata wadogo zako wamekumbukwa, kwa kuwa mchepuko wake aliyenaye kimahaba na chama kimojawapo cha upinzani angeweza kumrithisha kila kitu, na familia nzima mngeishia patupu.
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwandiko kama wa MTANESCO vile.....😀

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Na hii ndio akili ya waafrika wengi, matokeo yake tunaendelea kuwa masikini kila kukicha. Hivi kwanini mtu unakaa unawazia mali alizotafuta binadamu mwenzako ambaye mmefanana kwa kila kitu?? Mungu katuumba wote toka matumboni mwa wazazi wetu tukiwa tunafanana hali, sasa iweje wewe leo ukae usubirie watu wengine watafute mali kisha wewe uje urithi, kwanini lakini?? Akili hii unaipata wapi kijana wa miaka 38?? Kila mtu akikaa asubiri mali ya kurithi, nani atatafuta sasa?
Aisee umenichefua sana (nahisi na kila mtu humu umemchefua), hebu ondoa hayo mawazo haraka, koma kabisa na toka sasa anza kufikiria namna ya kutafuta mali zako.
 
Pale kwa rafiki yako kama kuna kasehem kadogo anza kulima bustani ya mboga mboga!!mwambie rafik yako akusaidie kupata pakti moja ya mbegu za mchicha anzia hapo!!!MI MWENZIO NILIWAHI KUSOMA MAKALA INAYOITWA "THE DAYS OF SMALL BEGININGS"Hadi sasa namiliki aset zinazo zidi milion 20!! na nina miaka 32 tu hadi sasa A class of 1988!!UMENIPATA MKUU???KUNA NGUVU KUBWA SANA NDANI YAKO KULIKO URITHI WA BABA YAKO!!!!The breeeeeed!!!!!!!!!
 
Urithi mkubwa kwa mtoto Ni Elimu na Akili ya utafutaji!!!
Wengi walioachiwa urithi bila Elimu na Akili huishia kuwa Maskini wa kutupwa
 
Urithi Ni Mali iliyotayari sio Elimu kwani Elimu ingekuwa urithi tungerithi vyeti vya wazee wetu na kufanyia kazi
 
Jf unatakiwa usome maandiko then utumie akili yako kuchambua kilichoandikwa na hapa ndio utaona wenye akili ndogo wanang'ang'ana kutukana na mtoa mada utakuta yuko pembeni anawacheka sana. Hivi unaanzaje kuumia na kutukana kwa mtu usiyemfahamu na kwa habari usiyokuwa na uhakika nayo?

Acheni umburula jamaa kaamua kuwa anawalisha matangopori humu ili aone uelewa wenu ulivo mdogo
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Lo! we jamaa Miaka 38 bado unajibanza kwa mshikaji na unalilia urithi? ni kweli au unafurahisha kijiwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu
Yaan niliposoma hapo nikaacha na kukuonea huruma

miaka 38 unalilia mali za urithi ,mimi miaka 24 napambana na nasaidia wengine ama kwel maajab mengi

🧠 KUANZA KUPAMBANA KUSUDI UWE SEHEMU YA URITHI TAYALI HILO NI TATIZO KWAKO HUTAKIWI KUWAZA HATA KIDOGO KUHUSU KUPEWA SEHEMU YA MALI YA BABA YAKO NI SAWA NA KUSEMA UNAMUOMBEA KIFO MZEE .
🧠 WE NI MTU MZIMA MPAKA UNAFIKA MIAKA 38 ULIKUA UNASUBILI MZEE AFE UPATE URITHI , PUNGUZA B.NG.
🧠 UNAWEZA ONA UKO SAHIHI KWA UPANDE WAKO ,LAKINI PAMBANA UPATE CHAKO UNA HAKIKA GANI BABA YAKO ALIPEWA URITHI KUANZA MAISHA , HAKI YAKO ILIKUA NI MZEE AKUPELEKE SHULE UWEZE KUJITEGEMEA SIO UOMBE URITHI
🧠KWA KIFUPI UNAWEZA UKAWA CHANZO CHA MATATIZO MENGINE MAKUBWA KWENYE FAMILIA YAKO UKIENDELEA KUKOMALIA URITHI,
PAMBANA UTENGENEZE MALI YAKO ACHANA NA MALI ZA WAZEE
 
Watoto wa Mengi wameenda mahakamani kupinga wosia kwa kuwa baba yao hakuwagawia hivyo alikuwa kachangamyikiwa!

Fuata nyayo zao kesi zenu hazitofautiani.

Mengi Inasemekana Alifanya Vile Akiwa karubuniwa sio kwa akili yake ndo maana uliona kesi , Ila kwa Huyu mwamba Mzee wake anaonekana kuwa na akili timamu na ameshaona Jamaa amebweteka anasubili URITHI ,huo ni upuuzi kwanza Kumnyima URITHI Huyu ni sahihi kabisa mi pia ningekua Baba ake asingepata kitu zaidi ya wosia kumwambia ajifunze kupambana
 
Sikuvunji moyo lakini wataalamu wa ulimwengu wanasema kuwa ukiisha vuka 35 yrs bila kutoboa huko uendako usijihangaishe tena. Swali la kijinga, Hivi weye 38 una watoto wangapi? Babako ana miaka mingapi?? Umesema weye ndo wa kwanza mwenye 38 Je babako alikuwa na miaka mingapi alipokupata? ; Nadhani amekuona sio rizki. Nenda tu Lumumba ukaombe kukaa mle mle mjengonii
 
Hata kama wewe ni mtoto wake ...lakini hakuna mahali popote sheria inalazimisha urithishwe mali za babaako. yeye ndie mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu mali zake, Ukipeleka kesi kama hii katika mabaraza ya kutafuta suluhu hawataikataa wataipokea lakini mwisho wake mwenye mali ndio mwenye uamuzi wa nani ahusishwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Me nataka nimsaidie mwenye uzi afanye hivi

Aende hospitali ya wagonjwa wa akili apewe cheti kinachoonesha yeye ana utindio wa ubongo na taahira ya akili kama akifanikiwa kupata cheti aende mahakamani

Kwa mbinu iyo atapata anachokitaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom