Nahisi bado anawasiliana na mpenzi wake wa zamani

Ulimchelewesha sana. Kwa hiyo mkuu umeishia kuchezea kinembe tu, kufikia hatua hiyo ulishwindaje kutemtelezesha nyoka pangoni??
Hatakagi kbs kuja mageton mara nying nikienda kwao tukikaa barazan kupiga stor anaweza kutok na kanga tu humchezea mpak bas ata uyo sister ake nikienda nae humchezea sana tu huwa najiuliza sjui huwa hawajui kama nawzingua 😁
 
Sasa kati ya wewe na wao nani anazinguliwa mkuu?

Maana wewe shida yako ni kuchakata mbususu unaishia kushikashika.

Ongeza ubunifu uchakate mbusus hizo
 
"katika ugomvi wa hapa na pale akasusa, kaacha simu yake akaondoka kwao, me nikashindwa kusoma kila kitu, na mimi nikarudi home kulala." Mimi ninaanzia kwenye hii mistari, ushauri wangu kwako, soma, tafuta pesa, wekeza, nilikuwa kama wewe kuendekeza vitu vya hovyo kama hivyo, umri huo wa miaka 20 ukitumia vizuri, utafurahi ukifika miaka 30. Kumbuka bado unaishi kwenu, hayo maisha unayo ishi, ni mzazi wako amekuandalia, anza kuandaa yakwako. Asante kwa kuelewa.
 
Ushauri,

Juzi nipo na mpenzi wangu tumekaa tunapata kinywaji, harakati za hapa na pale nikahisi jambo kwenye simu yake. Kumpokonya simu, simu ikaleta password kila file, ila mwanzo haikuwa na password kwenye mafile.

katika ugomvi wa hapa na pale akasusa, kaacha simu yake akaondoka kwao, me nikashindwa kusoma kila kitu, na mimi nikarudi home kulala.

Asubuhi nikapata wazo niitoe lain yake niweke kwangu, mara baada yakuweka simu namba ngeni inapigwa, nikakata. Kukataa meseji imeingia, kwanini unakata simu, unazingua, uko wapi? Mimi nikajibu tuma message niko sehemu mbaya. Hajajibu message akawa anapiga nikakata, kukata hajajibu message tena. Kakaa kimya, kucheki jina usajili, Xwake walioachana.

Baadae kaja home kuongea anasema anamsumbuaga tu, hakuna lolote, kuomba msamaha yakaisha yakapita.

Leo kaniita sehemu tumekaa tunainjoy nikahisi jambo, nikakaza nipe simu yako tuone kama ile namba bado inakucheki kakataa katakata, akaondoka kulala kaniacha sehemu saa 6 usiku peke yangu.

Nafikiria sana, katika maisha yangu niliapa sitokuja kupenda tena. Najikuta nimeingia cha kike tena. Nifanyeje wakuu niwe mkatili? Kwanini narudia makosa ya kupenda penda watoto wa watu?

Kwanini mimi isee?
Jaribu kilimo cha matikiti maji aina ya sukari
 
Huyo demu wako ni kicheche,wenzako hao vicheche tunabutua na kusepa sasa wewe unaweka kambi kabisa, tatizo hilo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
😀😂😂 Miaka mzee baba mpk aliposikia nishaoa c ndo akajiletaaa nami nikajisemea kimoy moyo ulinisumbua mno ngoj leo nipatize apa apa nikapita nae jumla jumla 😂 baada ya siku 3 ananitumia msg ivi my bikra yangu bado itakua ipo nikamjibu hamna ten alilia sana full kupewa lawama 😁
Daaaah nimekumbukaaa mbalii😅😅😂🙌wanaumee shikamonii
 
Ushauri,

Juzi nipo na mpenzi wangu tumekaa tunapata kinywaji, harakati za hapa na pale nikahisi jambo kwenye simu yake. Kumpokonya simu, simu ikaleta password kila file, ila mwanzo haikuwa na password kwenye mafile.

katika ugomvi wa hapa na pale akasusa, kaacha simu yake akaondoka kwao, me nikashindwa kusoma kila kitu, na mimi nikarudi home kulala.

Asubuhi nikapata wazo niitoe lain yake niweke kwangu, mara baada yakuweka simu namba ngeni inapigwa, nikakata. Kukataa meseji imeingia, kwanini unakata simu, unazingua, uko wapi? Mimi nikajibu tuma message niko sehemu mbaya. Hajajibu message akawa anapiga nikakata, kukata hajajibu message tena. Kakaa kimya, kucheki jina usajili, Xwake walioachana.

Baadae kaja home kuongea anasema anamsumbuaga tu, hakuna lolote, kuomba msamaha yakaisha yakapita.

Leo kaniita sehemu tumekaa tunainjoy nikahisi jambo, nikakaza nipe simu yako tuone kama ile namba bado inakucheki kakataa katakata, akaondoka kulala kaniacha sehemu saa 6 usiku peke yangu.

Nafikiria sana, katika maisha yangu niliapa sitokuja kupenda tena. Najikuta nimeingia cha kike tena. Nifanyeje wakuu niwe mkatili? Kwanini narudia makosa ya kupenda penda watoto wa watu?

Kwanini mimi isee?
Wacha kulazimisha mambo
 
oha tafta hela upate unachotaka na kikung'ang'anie tafta hela upate nguvu za kummiliki demu maana unaweza muuliza swali dogo unakosa nn kwangu na akili ikamkaa sawa ila now unahangaika kwakua huna hela za kumiliki mzigo wa maana
 
Katika kitu ambacho kilinipa frustruation ktk maisha yangu hapo Tz ni siku niliyoshika simu ya mpenzi wangu ,kulikuwa na bro mmoja hivi alikuwa ana mazoea nae...nikadoubt ,nikamuuliza kipi kinaendelea kati yake na yule bro,alichoniambia nikuwa hakuwa na mahusiano yoyote bali ushkaji tu.

Kichwani taa nyekundu ilishawaka nikaamua kufanya ujasusi wangu, siku sio nyingi simu yake iliharibika, nikamwambia nipe tu nikakutengenezee kwa fundi, alinipa ila mi nlikuwa nishaisoma password yale....aisee kuja kuifungua ndani nikazama inbox na watsapp....mamaaaeeeee ni tukio ambalo sitakuja kulisahau mpaka nazama kaburini. Nilipitia sms zote, nlichogundua ni kuwa licha ya kuwa yule bro alikuwa akimbandua ,pia kulikuwa na washkaji wengine nao walikuwa wakimla. Moyo uliniuma sana,mwili ulikosa nguvu,nikakaa chini....niliporudi tu aligundua kuwa mambo hayakuwa tena kama zamani, i was totally different person!!

Toka siku hiyo,kiumbe kinachoitwa mwanamke sitakuja kukiweka kwenye akili au moyo wangu.

Tahadhari usipekue simu ya mpenzi wako ikiwa haupo tayari kuachana nae
 
oha tafta hela upate unachotaka na kikung'ang'anie tafta hela upate nguvu za kummiliki demu maana unaweza muuliza swali dogo unakosa nn kwangu na akili ikamkaa sawa ila now unahangaika kwakua huna hela za kumiliki mzigo wa maana
Unajidanganya sana kudhani kuwa na pesa ndio kummiliki mwanamke. Hivyo viumbe havijawahi kueleweka toka dunia iumbwe
 
Back
Top Bottom