Nahisi bado anawasiliana na mpenzi wake wa zamani

Mimi Manzi niliyezaa naye Aliolewa na jamaa yupo taasisi nyeti na maisha bora,na majuzi kapata kazi ni mwalimu.Ila katika maswala ya kutaka ushauri wa kimaisha lazima anipigie simu tuongee sana ili nimshauri nini cha kufanya.
 
Mbna Kama huu Uzi mmeuaribu jmn kwani ndio mweny mada anataka haya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakusihi Sana ... Ubora wa timu hutokana na kocha na wachezaji ikiwa kocha kazingua ata uwe na players wazur vipi huwez toboa..

Maana yangu ww Ni kocha madem Ni wachezaji ... Amua kusajili mwingine Bora au kuendeleaa kung'ang'ana na player alie floop ..zingatia Hata ma legend huondoka / kuama timu inapo bidi .

Dalili ya mvua mawingu ila kila wingu sio mvua .. Sasa jitathimini una control kwene mahusiano yako ... Ikiwa unayo bac simama kam mwanaume kataza anacho kifanya NB :njia hii ni risk ikiwa hakupend bac umechoma kibanda...

Ikiwa huna control basi ingia sokoni kusaka mrithi wa mchezaji ulie nae maana siku zaja ata ondoka either unataka / au utaki kila kitu kina mwisho. Ukipata mrithi Sasa maamuzi Ni yako ale bench au awe kikosi B.


Kupanga Ni kuchagua..
 
Hili lazima tulitambue.

Saivi ni mwendo wa kushare ukishajua hilo mapenzi hayatakuumiza.

Uwe peke yako wewe nani??
Wanaume najua mnapenda ku-shea kwakuwa "HAINA SHOMBO" yaani hata utomb**** mara 3 kwa siku mume wako hawezi jua kama ulitoa
 
We jamaa.....una umri gani kwani ...mbona unafanya mambo ya school boys tuliyokuwa tunafanya miaka mingi sana zamani...achana na simu yake bhana mpe uhuru...muache aamue mwenyewe kama ni wewe au anarudi tena kwa x wake maana ni dhahiri kuwa kuna kitu na ndio maana anakuziria kama defensive technique..... after all unasema ni x wake we nani alikuthibitishia kama waliachana...inawezekana we ndio umeingilia mapenzi ya watu hahahaaaaa....acha kuwa Sirius hivyo kwenye mapenzi hasa na wanawake wa siku hizi utaugua presha ...shauri yako
 
Hahaa kwa hiyo mnajisifu hata mkichepuka hatuwezi jua sio?
nyie mpo busy for nothing, mtu umekula vizuri vitu vinawasha washa mwilini unategemea nini?
yaani, jumaapili kuanzia saa nane mchana umeondoka eti unaangalia mechi ya Arsenal, ikiisha una Simba, ikiisha unaangalia La liga , hapana aisee
 
UNAIBIWA KWA HERUFI KUBWA 😁😁
 
Pole mkuu focus na mambo mengine hapo hutakiw
 
nyie mpo busy for nothing, mtu umekula vizuri vitu vinawasha washa mwilini unategemea nini?
yaani, jumaapili kuanzia saa nane mchana umeondoka eti unaangalia mechi ya Arsenal, ikiisha una Simba, ikiisha unaangalia La liga , hapana aisee
Hivi nyie mnafikiri wanaume wooote tunaendaga kuangalia mpira weekend? 🤣🤣🤣
 
Mnapoambuwa mtafute wanawake mabikra muwe mnaelewa. Mwanamke akikupenda then umbikiri plus ujue kumridhisha hawezi kukuacha abadani. Atakuacha tu pale atapomjua Mungu katika kweli na roho na hapo maybe mmetengana ndio atamove on. Tofaut na hapo mnaishi na wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…