Nahisi bado anawasiliana na mpenzi wake wa zamani

TAFUTA MTOKO NAYE, MWAMBIE NIMEKUSAMEHE. KULA CHAKULA NA KUNYWA NAYE KWA FURAHA.
MWISHONI MWAMBIE, NAONA NI WAKATI MZURI TUKISITISHA MAHUSIANO YETU MUDA HUU.
ILI AWE NA MUDA MZURI NA MWENZIE.
MSIJIPE TABU YA KUISHI NA WAPENZI WA WENZENU
PENGINE ULIKUWA WA AKIBA BAADA YA TOFAUTI ZAO.
HIVYO TU
 
Simu ya kukagua ni y MKEO mtarajiwa au MKE tyr.

Ulimtolea Mahari?

Kama hujamtolea mahari na kwao hawakutambui kausha.

Ikiwa ni Mkeo wa halali ningeshauri umtafute mhusika polepole na ukimkamta umfanye kitu ambacho atokuja kusimulia hadharani..
 
Uko siriazi unataka demu awe wako peke ako???acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…